Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Asante kwa taharifa. Huku mafia tupo tayari kupokea wa ufukweni watakao letwa ma maji.
Acha upuuzi wewe. Utapata faida gani kupokea maiti? Kama huna cha kuandika tulia kimya.Asante kwa taharifa. Huku mafia tupo tayari kupokea wa ufukweni watakao letwa ma maji.
Kama kitazama au kupata hitilafu kubwa kikiwa hapo au hata abiria mmoja kupoteza maisha basi TZ tutakuwa vilaza wa mwisho kabisa kwenye masuala mazima ya uokoaji majini. Maana hapo karibu kuna kila aina ya msaada unaotakikana! Nawatakia simile wahanga wote walio ndani ya hicho kivuko watoke salama!