Wanapiga simu then wanakuuliza maswali ya mitego mitego ,
Dah aseeee
temesa , tuambieni tu kuwa umefanikiwa kupita katika usaili wa awali / maandishi , na sio
Hivo kama mlivyonitega , eti pharmacy yako haijasajiliwa wakati kijana wa watu amejiajiri kwenye kufuga kuku wa kisasa .
kivukoni