nakumbuka nili pigiwa , simu nkapokea , sasa kwny kuongea mimi ndo naongea , halo habari , haløo habari mara kama zote , sasa cha ajabu , hata sikupata response yoyote ghafla simu ikakata aftr 2 minutes , sasa dah , nkapga kma mara 8 , hata hakunakupokelewa , basi bana .