V Vickyhenry New Member Joined Sep 29, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Sep 29, 2019 #1 Eti wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha Kigamboni TEMESA vipi kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kazi
Eti wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha Kigamboni TEMESA vipi kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kazi
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Sep 29, 2019 #2 Anza na Salamu basi. Yani unajiunga Leo JF unafikia kutuuliza Maswali magumu hivi
george de hero Senior Member Joined Jul 7, 2013 Posts 122 Reaction score 14 Sep 29, 2019 #3 bado hata deadline haijafika watu bado wanatuma maombi Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand...
bado hata deadline haijafika watu bado wanatuma maombi Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand...
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,239 Reaction score 184,950 Sep 29, 2019 #4 Ngoja waje kukupa taarifa... Cc: mahondaw
hyassin92 JF-Expert Member Joined Oct 4, 2017 Posts 582 Reaction score 635 Sep 29, 2019 #5 Subiri mzee
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Sep 29, 2019 #6 Mimi nilijua sijui kimefanyaje huko loh..kumbe kazi!
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 Sep 30, 2019 #7 Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand... Vicky
Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand... Vicky
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,832 Reaction score 5,632 Sep 30, 2019 #8 Kumbe mleta mada ni kuku mgeni ana kamba mguuni
Kung fu panda JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 748 Reaction score 788 Oct 6, 2019 #9 bado hawajatoa mrejesho Mkuu ata mimi nimetuma maombi hapo,tukutane siku ya interview Mkuu nategemea ushirirkiano wako
bado hawajatoa mrejesho Mkuu ata mimi nimetuma maombi hapo,tukutane siku ya interview Mkuu nategemea ushirirkiano wako
mtwa kinte Senior Member Joined Sep 2, 2015 Posts 144 Reaction score 260 Oct 6, 2019 #10 so far wameomba watu 12,000 wenye masters zao ndani
W wizy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2016 Posts 4,193 Reaction score 10,454 Oct 6, 2019 #11 mtwa kinte said: so far wameomba watu 12,000 wenye masters zao ndani Click to expand... walisema wanahitaji kidato Β’ha nne sasa kama uliweka masters yako sijui
mtwa kinte said: so far wameomba watu 12,000 wenye masters zao ndani Click to expand... walisema wanahitaji kidato Β’ha nne sasa kama uliweka masters yako sijui
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Oct 6, 2019 #12 mtwa kinte said: so far wameomba watu 12,000 wenye masters zao ndani Click to expand... Kama uliomba na hyo Master yako lazima wale kichwa
mtwa kinte said: so far wameomba watu 12,000 wenye masters zao ndani Click to expand... Kama uliomba na hyo Master yako lazima wale kichwa
October man JF-Expert Member Joined Nov 23, 2017 Posts 3,632 Reaction score 5,023 Oct 7, 2019 #13 Mpombote said: Kama uliomba na hyo Master yako lazima wale kichwa Click to expand... degree kibao zikiomba ila wenye akiri tuliji minimize wengine walizani sifa kuandika nina degree.
Mpombote said: Kama uliomba na hyo Master yako lazima wale kichwa Click to expand... degree kibao zikiomba ila wenye akiri tuliji minimize wengine walizani sifa kuandika nina degree.
M Mpombote JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 1,944 Reaction score 1,504 Oct 7, 2019 #14 October man said: degree kibao zikiomba ila wenye akiri tuliji minimize wengine walizani sifa kuandika nina degree. Click to expand... π π Waache wapotee kuna jamaa alisema hiko ndo kigezo cha kwanza yaani.
October man said: degree kibao zikiomba ila wenye akiri tuliji minimize wengine walizani sifa kuandika nina degree. Click to expand... π π Waache wapotee kuna jamaa alisema hiko ndo kigezo cha kwanza yaani.
gonamwitu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 2,210 Reaction score 2,837 Oct 7, 2019 #15 Mpombote said: π π Waache wapotee kuna jamaa alisema hiko ndo kigezo cha kwanza yaani. Click to expand... Yes ukiweka lidigrii lako tu kwa CV wanakula kichwa
Mpombote said: π π Waache wapotee kuna jamaa alisema hiko ndo kigezo cha kwanza yaani. Click to expand... Yes ukiweka lidigrii lako tu kwa CV wanakula kichwa
K Kibabu chenye pesa ndefu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2019 Posts 309 Reaction score 205 Oct 7, 2019 #16 Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand... mtoto vick njoo pm...nawaza kwa sauti tu lazima utakuwa mweupe mrefu namba nane flan hiv amazing njoo pm mrembo tuone jins gan unapata kaz
Vickyhenry said: Et wadau tuliopeleka cv kwenye kivuko cha kigambon temesa vp kuna watu waliopata taarifa yoyote kuhusu mrejesho wa kaz Click to expand... mtoto vick njoo pm...nawaza kwa sauti tu lazima utakuwa mweupe mrefu namba nane flan hiv amazing njoo pm mrembo tuone jins gan unapata kaz
M mumba09 Member Joined Sep 20, 2015 Posts 46 Reaction score 82 Oct 7, 2019 #17 Kibabu chenye pesa ndefu said: mtoto vick njoo pm...nawaza kwa sauti tu lazima utakuwa mweupe mrefu namba nane flan hiv amazing njoo pm mrembo tuone jins gan unapata kaz Click to expand... Hahahahaha
Kibabu chenye pesa ndefu said: mtoto vick njoo pm...nawaza kwa sauti tu lazima utakuwa mweupe mrefu namba nane flan hiv amazing njoo pm mrembo tuone jins gan unapata kaz Click to expand... Hahahahaha
N naomba kazi JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 253 Reaction score 213 Nov 1, 2019 #18 Majina naskia yametoka na watu wameshafanya interview na wameanza kazi week hii
Lexus SUV JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 5,130 Reaction score 6,360 Nov 1, 2019 #19 naomba kazi said: Majina naskia yametoka na watu wameshafanya interview na wameanza kazi week hii Click to expand... BASI SAWA , NGOJA TUOMBE UZIMA , TU .
naomba kazi said: Majina naskia yametoka na watu wameshafanya interview na wameanza kazi week hii Click to expand... BASI SAWA , NGOJA TUOMBE UZIMA , TU .
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,637 Nov 1, 2019 #20 Smart911 said: Ngoja waje kukupa taarifa... Cc: mahondaw Click to expand... Haha we jamaa hujakoma tu,umesemwa juzi tu,ukoje wewe?
Smart911 said: Ngoja waje kukupa taarifa... Cc: mahondaw Click to expand... Haha we jamaa hujakoma tu,umesemwa juzi tu,ukoje wewe?