VERITE-NUE
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,489
- 1,466
Kwa mara ya kwanza, katika zoezi la kuimalisha usalama na kujenga ngazi za usalama wake, M23 imetoa kwa mara ya kwanza, Police wake. Mkuu wa kundi hilo, Gen Sultani Makenga, ameomba wahitimu wawe tofauti na jeshi la polisi la serikali, lililosifika kwa vitendo vya wizi, rushwa, kubaka na mengineyo, na kuwataka wawe mfano wa kuigwa kwa raia, kujenga picha halisi ya chama.