beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
- Thread starter
-
- #121
huko maofsini nasikia badala ya kushindana kikazi au kitaaluma wanawake wanashindana kimavazi...nani kaachia mapaja zaidi ya mwenzake n so forth ya kweli??:A S 109:
Namimi nataka pichaaahahahaa tutatoka vzr kwel,tena pale kwny samak afu tunaiupload jf!
sanane ntakuwa mjin upo wapi nije mmi kukuona jaman
Sawa mamito bt kwahiyo nifke mjin nianze toa macho kweli mama akuu nambie nikukukte wapi au unikute wapi we unapoona ni rahis kwako.poa ukiwa waja utanitext mamie sawa eeeeh
Baaathiii mi metupia kitu cha jeans skirt n katishet keupe kadogo dogo jaman na chin nina maasai shoes baaasi
poa ukiwa waja utanitext mamie sawa eeeeh
Nipo njian naja mjin juniour n cg mpo wapi fasta kabla sijaghairi hapambona mwakutana wenyewe, vibaya hvyo kutengana watt wa kitaa...
Nipo njian naja mjin juniour n cg mpo wapi fasta kabla sijaghairi hapa
chini nina kitu cha kiatu rang nyeupeb[chomamoyo kwa mnaoifaham] suruali blue, juu shati ya mixa ya kijani, njano na nyekundu...utantakaa sasaaa
mi leo zambarau gaun ndeefu, kijikoti kireefu had mapajan, belt nyeusi, chin nina simple nyeusi heren za button purple basi ndo nilivotoka leo
mi leo zambarau gaun ndeefu, kijikoti kireefu had mapajan, belt nyeusi, chin nina simple nyeusi heren za button purple basi ndo nilivotoka leo
Asntee b52Mambo beibe nasty....!!
Leo niko ki weekend sana...T-Shirt na jeans na viatu vya kiweekend...lol
Pouwa mamito nipo tu hapame leo jeans na pundamilia ya brown juu. chin mmasai anahucka sana! mambo vp madia!
Pouwa mamito nipo tu hapa
upo wapi hapo?
npo nae tai5.. we wap??