Rais ni Taasisi: Rais ni mamlaka, Rais ni amri jeshi, kauli ya rais ni sheria:
Nimemsikiliza Jana mwanasheria mkuu wa CHADEMA Jana, kasema alivyoweza kusema lakini kuna sehemu kakosea sana tena sana kumwita mteule kuwa "karopoka".
Kwa mujibu wa kamusi, MROPOKAJI ni mtu anayezungumza au kupayuka mambo bila kufikiri.
************************
Mi nadhani wapinzani hata kama kuna nia ya kukosoa naomba tumieni lugha nzuri kukosoa! Kauli zenu zitaliingiza taifa katika machafuko!
Kama Tundu lisu anasema Rais hana mamlaka ya kufuta magazeti je anasahau kwamba;
1. Ukisoma Katiba ya jamhuri inasema kauli ya rais ikitamkwa haitakiwi kuhojiwa na mtu yeyote?
2. Muswada wowote ili uwe sheria, ni mpaka rais asaini?
Sasa mwenye mamlaka haya na mengine ya kuteuwa waziri wa Habari na vyombo vingine, atashindwaje kufuta magazeti Kwa vigezo Vya kukiuka masharti?
Mtoto asiye na adabu; aweza muita babake mropokaji eti kisa jambo hakubaliani nalo?
Jiandaeni Jumatatu na Jumanne Kisutu itahusika baada ya mahojiano!
..Yaani rais Wa nchi ashindwe kufuta gazeti akiamua? Inachekesha sana!!!
TUWE NA HEKIMA KATIKA KUKOSOA