Kiungwana serikali na CCM na NEC wanapaswa kuwaomba radhi wananchi kwa kuchafua chaguzi za 2019, 2020, 2024. Kwa kuwa shahidi zipo

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,195
Reaction score
3,309
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.

Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini kufuta makovu waliyoyasababisha kwenye hizo chaguzi zilizopita.

Mkuu wa wilaya, Nape, Kamanda wa polis, Mchengerwa na hata Rais Magufuli alipata kusema haiwezekani akuteue yeye alafu wewe umtangaze mpinzani kuwa ameshinda.

Huu wote ni ushahidi kwamba serikali ilikusudia na kwa makusudi hujipanga kudhulumu uchaguzi.

Hivi unajivuniaje hii dhuluma!?

Na ninyi machawa humu ndani mnajivuniaje hii dhuluma!?

Nashauri serikali itoke iombe radhi kwa huu udhalimu uliolinajisi taifa letu.
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB

Tatizo la shetani huwa haoni haya.
 
😀😀😀imebidi nicheke kwanza
 
Hakuna haja ya kusamehe kwa anayekosea kwa makusudi.
 
Sijui kama wanakuelewa au kujielewa hadi kinukishwe. Hawana uwezo wa kuomba msamaha wala ustaarabu wa namna hiyo. Tangu lini chawa akawa na uwezo huo?
 
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.

Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini kufuta makovu waliyoyasababisha kwenye hizo chaguzi zilizopita.

Mkuu wa wilaya, Nape, Kamanda wa polis, Mchengerwa na hata Rais Magufuli alipata kusema haiwezekani akuteue yeye alafu wewe umtangaze mpinzani kuwa ameshinda.

Huu wote ni ushahidi kwamba serikali ilikusudia na kwa makusudi hujipanga kudhulumu uchaguzi.

Hivi unajivuniaje hii dhuluma!?

Na ninyi machawa humu ndani mnajivuniaje hii dhuluma!?

Nashauri serikali itoke iombe radhi kwa huu udhalimu uliolinajisi taifa letu.
Hawawezi kuomba radhi ndiyo maana anaye toa hoja kuhusu mfumo mbovu wa uchaguzi anatiwa hatiani kama haini lakini aneiba Kura kwa kuvunja katiba ndiyo hao ulio wataja

Tatizo ni jamii iliyo nyamaza jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe, jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Jamii iliyo andaliwa kuto kuhoji eti kunyamaza ndiyo amani kumbe kunyamaza siyo amani ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.

Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini kufuta makovu waliyoyasababisha kwenye hizo chaguzi zilizopita.

Mkuu wa wilaya, Nape, Kamanda wa polis, Mchengerwa na hata Rais Magufuli alipata kusema haiwezekani akuteue yeye alafu wewe umtangaze mpinzani kuwa ameshinda.

Huu wote ni ushahidi kwamba serikali ilikusudia na kwa makusudi hujipanga kudhulumu uchaguzi.

Hivi unajivuniaje hii dhuluma!?

Na ninyi machawa humu ndani mnajivuniaje hii dhuluma!?

Nashauri serikali itoke iombe radhi kwa huu udhalimu uliolinajisi taifa letu.
Mtu akibisha hapa atakuwa ni mwenndawazimu na mpumbavu.
 
This is very Sickening kwa kweli
CCM ni wataalamu wa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kwa nafsi, wanatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
 
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.

Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini kufuta makovu waliyoyasababisha kwenye hizo chaguzi zilizopita.

Mkuu wa wilaya, Nape, Kamanda wa polis, Mchengerwa na hata Rais Magufuli alipata kusema haiwezekani akuteue yeye alafu wewe umtangaze mpinzani kuwa ameshinda.

Huu wote ni ushahidi kwamba serikali ilikusudia na kwa makusudi hujipanga kudhulumu uchaguzi.

Hivi unajivuniaje hii dhuluma!?

Na ninyi machawa humu ndani mnajivuniaje hii dhuluma!?

Nashauri serikali itoke iombe radhi kwa huu udhalimu uliolinajisi taifa letu.
Sikio la kufa.
 
CCM ni wataalamu wa kujizima data yaani kuahirisha kufikiri kwa nafsi, wanatumia mfumo kandamizi wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni mfumo unao ruhusu wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
Ajabu wanazima hata zao kiasi cha kuacha kufikiri sawa sawa hadi wanageuzana machawa 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu.

Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini kufuta makovu waliyoyasababisha kwenye hizo chaguzi zilizopita.

Mkuu wa wilaya, Nape, Kamanda wa polis, Mchengerwa na hata Rais Magufuli alipata kusema haiwezekani akuteue yeye alafu wewe umtangaze mpinzani kuwa ameshinda.

Huu wote ni ushahidi kwamba serikali ilikusudia na kwa makusudi hujipanga kudhulumu uchaguzi.

Hivi unajivuniaje hii dhuluma!?

Na ninyi machawa humu ndani mnajivuniaje hii dhuluma!?

Nashauri serikali itoke iombe radhi kwa huu udhalimu uliolinajisi taifa letu.
 
Attachments

  • 20250429_135643.jpg
    20250429_135643.jpg
    112.7 KB · Views: 15

Katiba ndio Biblia ya nchi. Kama watu wanavunja Katiba na hakuna wa kuwachukulia hatua, wasubiri muda ufike. Apandacho mtu atavuna. Dhambi kuu ambazo Serikali ya CCM na viongozi wake wamefanya na matunda yanatarajiwa wakati wowote ni:
1. Kuua na kuteka watu kwa kuikosoa tu.
2. Kuvuruga mchakato wa Katiba mpya kwa maslahi ya kikundi kidogo cha watu.
3. Kuwakata bila sabau wagombea wa upinzani
4. Ubaguzi ktk Teuzi
5. Kupora uchaguzi
6. Kutumia Polisi kutesa na kuua watu.
 
Halafu tume Ile Ile ndio wanataka Twende nayo tena? Sisi sio Wapumbavu tena
CCM wamegundua kwmba tuna kipaji cha upumbavu mkipiga kelelele wanawambia kuhusu amani, kumbe kunyamaza siyo amani,

Naweza kunyamaza kwakupenda mwenyewe ama kwa kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Attachments

  • 6040499-72263a72380463c36ea8c4770b412df.mp4
    4.5 MB
Back
Top Bottom