Padre Aliwauliza Waumini:-
Ni Kiungo Gani Cha Mwili Kilichojificha Na Kina
Wingi Wa Unyevu Unyevu, Kinaweza Kufanya
Ndoa Idumu Au Kuvunjika?
Waumini Wakapiga Kimya Huku Wakiinamisha
Vichwa Vyao Chini!!!
Padre Akasema, Hebu Inueni Hayo Mabichwa
Yenu Juu Niwaonyeshe Hicho Kiungo, Ni
ULIMI!!!
Nyie Mlifikiri Nini? Yaone Yanawaza Ngono Tu
Shwain!!!!!