Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,120
Kama ninavyokupenda[emoji85] [emoji85] [emoji85]Anipende tu
Kama ninavyokupenda[emoji85] [emoji85] [emoji85]Anipende tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kama ninavyokupenda[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mmmh Benny Hiyo ni movie ktk real life I don't think so....
Ha ha ha...Umerudi lini toka filipino?
Yaaan wew ndo umegusa kunako, hasa hzo sentens za mwsho hapo..Boss kuna wanaume wanacare hadi unambatiza uheavensent.....unahisi dc z da one I dream about......at the unagundua ni usanii!! Hii inakuwaje?!
Alf kuna care ni kipaji sijui wengine wanapenda kwa dhati ila care hawajui,wengine wasanii ila macare utajihisi malkia
Pamoja na haya lakini bado wanacheat.....na pamoja na hayo mwisho wa siku anakuacha......kwanini lakini?Mi najuaga ni sincere care/love + attention. Sijui kama kuna jingine. Lol
Hahaha...post imenipeleka mbali sana kumbe nishafika Filipino haha
Teh teh teh kumanyokooSomething so romantic!!
Imagine mnakula dinner katikati ya uwanja wa mpira halafu mvua inanyesha huku mmeshika mishumaa!
Khaaa kwa hiyo kutoka dinner na mpenzi wako si jambo la msingi?Mi nkikutoa lunch mbili tatu na dinner moja jua unapendwa vya kutosha... huo muda ningetumia kwenye mambo ya msingi
Khaaa kwa hiyo kutoka dinner na mpenzi wako si jambo la msingi?
Pamoja na haya lakini bado wanacheat.....na pamoja na hayo mwisho wa siku anakuacha......kwanini lakini?
Hahaha umenishinda tabia, usiwe unawaza sana vitu negative, utajikosesha vitu vizuri hata wewe mwenyewe. No need ya kuishi na mtu kwa machale banaaah hamsomeki nyie... unaeza jipiga na dinner za kutosha kumbe unachorwa tu 🙂 🙂 moja inatosha
Teh teh..Sijui kuna manzi humu unataka kumuingiza box teh...Mana hiyo dinner balaa aisee..
Teh teh teh kumanyokoo