Kiukweli, uteuzi wa RC Mghwira 'umewakereketa' zaidi wana-CCM

Vipi UVCCM mbona hamsikiki mkiushangilia uteuzi wa Wapinzani ndani ya Serikali yenu?Baadhi ya Vyama vya Upinzani vimeuponda uteuzi huo lakini UVCCM mko kimya hamuutetei.
 
Vipi UVCCM mbona hamsikiki mkiushangilia uteuzi wa Wapinzani ndani ya Serikali yenu?Baadhi ya Vyama vya Upinzani vimeuponda uteuzi huo lakini UVCCM mko kimya hamuutetei.
wewewee!

CCM wanavyomwogopa Magufuli kuna mwenye ujasiri wa kusema "fyoo"...wote wameufyata, watake wasitake!
 
Mbunge si sawa na mkuu wa mkoa au katibu mkuu,Think Big son!
 
Lizaboni, Ruttashobolwa, stroke, Mudawote wako wanasikilizia maumivu!!
 
Nawaonea huruma ndugu zetu wengi walio viijini maana wangejua wabunge wao ndio chanzo cha umasikini wasingekubali kuwapa kura kwa wali khanga na kofia!! Miaka mingine 200 tutaendelea kuwa masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…