Kiukweli, uteuzi wa RC Mghwira 'umewakereketa' zaidi wana-CCM

Vipi UVCCM mbona hamsikiki mkiushangilia uteuzi wa Wapinzani ndani ya Serikali yenu?Baadhi ya Vyama vya Upinzani vimeuponda uteuzi huo lakini UVCCM mko kimya hamuutetei.
 
Vipi UVCCM mbona hamsikiki mkiushangilia uteuzi wa Wapinzani ndani ya Serikali yenu?Baadhi ya Vyama vya Upinzani vimeuponda uteuzi huo lakini UVCCM mko kimya hamuutetei.
wewewee!

CCM wanavyomwogopa Magufuli kuna mwenye ujasiri wa kusema "fyoo"...wote wameufyata, watake wasitake!
 
Inashangaza namna upinzani mlivyolikomalia utafikiri hii ni mara ya kwanza kwa jambo kama hili kufanyika, Mbatia alipoteuliwa kuwa Mbunge na Kikwete kelele hazikua kubwa hivi, nadhani maumivu makubwa yapo huko Chadema maana walikua wanaona wanastahili kumbe hamnna lolote. Kuna vyama vidogo tu vina watu potential kuliko chadema na lundo la wanasiasa wasio na weledi wala ubunifu zaidi ya kauli za kutisha na kukatisha tamaa.
Mbunge si sawa na mkuu wa mkoa au katibu mkuu,Think Big son!
 
Nawaonea huruma ndugu zetu wengi walio viijini maana wangejua wabunge wao ndio chanzo cha umasikini wasingekubali kuwapa kura kwa wali khanga na kofia!! Miaka mingine 200 tutaendelea kuwa masikini
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom