Zama zimebadilika ndugu, yaani nitoke tu vupuu nakuanza kulisha mali za watu? Haya zamani hayukufanya hivyo sembuse leo? Japo si vizuri kuanza kuuliza eti unaboyfriend? Swali hili linaboa, mwanamke akishaiva atasema mwenyewehata bila.kuulizwa.Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
Amepata Buzi...hahahaaa wanawake bwana, eti analichuna huku na yeye anachunwa.bora"" akwambie hivyo ""itakuwa nifuu""ndio kwanza"" ataanza "kuwa hadithia" wenzake kuwa amepata" danga "linajipendekeza "" so ameona amchune tu""
Naanza kukupendaKwanza amekuheshimu na amejiheshimu na mtu wa hivyo ni mstaarabu. Hapendi kuingilia mahusiano ya watu na anauliza ili ajue anaingia kwa gear gani.
Na ni mjanja pia.
Nani awekeze sehemu ambayo kuna mtu tayari?
Its not that complicated bila hiyo sasa tutaonekana wanawake wote tunatembea na placards za 'OMBA OMBA'.
Nipende tu haina jinsi.Naanza kukupenda
Nini wacheka....?
Huo mtego. Jibu lako litanijulisha nahitaji juhudi gani kukunasa.Eti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
teh teh teh...Kwahiyo anaanza kukuspoil tu hata haoni kama unaelekea kuwa spoiled?
Hiyo ni sawa na kucheza pata potea.
sawa kabisa...Hahah mkuu m-spoil kwanza eti ndo uje kuuliza baadaye
Sijambo shikamoo mkuuteh teh teh...
hujambo lakini?