Hii mbinu unayowapa wanaume waitumie kwa wanawake ni outdated piaEti unakuta mwanaume anakuja na kuanza mahusiano kwa kukuuliza, "eti dada unaboyfrnd?" Hivi wanaume hamjui kudeal na akili za wanawake inabidii uende unda urafiki show that you care ntoe outing, spoil the lady to the extreme alafu utaona yeye mwenyewe ndo atajiongeza na kutambua kama alikuwa na boyfrnd au laah. Usipoelewa utaelewa kesho jumapili njema wakuu
Siku izi hamna kitu kupenda asikuwambie mtu yaan uko sawa sababu unaweza kumnunulia sijui nin umpagawishe then at the end anakuwambia hana Mme sio boyfriend tena..haha.Hii mbinu unayowapa wanaume waitumie kwa wanawake ni outdated pia
Muda unaotumia kuunda huo the so called urafiki,sijui kumspoil kuna mjanja anajilia kiulaini kabisa
Labda kimsingi kama mwanaume anamtaka mwanamke aende direct katika point yake ya kupenda,hayo ya una boyfriend atajua mwenyewe
Kupenda kupo ila kama umependa haina haja ya kuzungukaSiku izi hamna kitu kupenda asikuwambie mtu yaan uko sawa sababu unaweza kumnunulia sijui nin umpagawishe then at the end anakuwambia hana Mme sio boyfriend tena..haha.
hahaaaaMhh huu msimu si wa kuinvest kirahisi hivyo...
Zama zimebadilika.
bora"" akwambie hivyo ""itakuwa nafuu""hapo ndio kwanza"" ataanza "kuwa hadithia" wenzake kuwa amepata" danga "linajipendekeza "" so ameona amchune tu""Siku izi hamna kitu kupenda asikuwambie mtu yaan uko sawa sababu unaweza kumnunulia sijui nin umpagawishe then at the end anakuwambia hana Mme sio boyfriend tena..haha.
hivi huyuu Asprin anawake wangapi humu khaa. yani kila sehemu napotaka kuteka colon naskia kuna @Aspirin aaargh tutapambana hivo hivo ila cha muhimu na kikubwa ni kuwa highest shareholder basiHahaha
Unataka kuwa nao wawili eeeh!! Lakini watoto ndo huuliza bhana mbona mie Aspirin hakuniulizaaa, dili na wahenga mkuu
Kupenda kupo ila kama umependa haina haja ya kuzunguka
hahahahahhhBinamu una boifrendi....
Nini wacheka....?hahahahahhh