CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
Hilo Gamba Nape Kapambana Nalo Tangu 2008, Nadhani Lilipojivua Alichinja Kuku.Huyo Jamaa Zaidi Ya Kuwa Na Pesa Za Ujanja Ujanja Na Genge Hatari La Wafanyabiashara.Ni Mwiziii
Bado hujaeleza Lowassa anawatesaje Chadema, unless kama umeamua kuwafurahisha tu wana CCM wenzako. Katika utawala huu ambao uhuru wa vyombo vya habari unaminywa kwa sheria kandamizi, mikutano na maandamano ya vya siasa yamekatazwa, saa ngapi watajitokeza kuusemea uovu wa CCM? Huko bungeni nako wanafanya vikao vya faragha, wabunge wa upinzani wananyanyaswa, unaanzia wapi?Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Umeandika mengi lakini hukusema ufisadi wake ni nini????..
Amekutenda nini?Hakuna mtendaji wa hovyo kuwahi kutokea kama Mashinji,pale kuna galasa na kikaragosi cha mbowe,eti kateuliwa kwa uwezo wake wa kuratibu migomo.Kwa sasa hakuna hata nukta ya kujadili mgomo kabaki kuzurura ulaya ofisini kabakia Mwalimu
Naona zako hazikutoshi kwa hiyo unataka kupotosha jamii kuwa Escrow, meremeta ,dowans,zote lowasa mnawaza lowasa tu basi wamtumbue kama hatoenda maviccm wengi
Ushahidi Anao John MnyikaShukuru id fake, ungelitoa ushahid kaiba nini
Hilo silifahamu hivyo sina jibu lake ila ninachofahamu ni kwamba tatizo la Tanzania siyo CCM kuwepo madarakani wala Katiba!
Katiba siyo inayowazuia Upinzani kuingia madarakani, kwani kama Watanzania wakiamua kuiondoa CCM hata kesho inaondoka, kinachoiweka CCM madarakani ndicho hicho kinachozuia Upinzani kuingia madarakani nacho ni Imani, Watanzania bado hawajawa na Imani na Upinzani na kwa kiasi kikubwa bado wanaiamini CCM, utabisha na kukataa unavyotaka lkn huo ndio ukweli!
Mie najaribu kufikiri kwa sauti, hivi Dr Slaa angekuwa bado yupo CHADEMA, angekubali kweli baba j awabane wapinzani hivi!?Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Humu humu JF nimewahi kuandika hivi: Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA. Andiko langu hilo, nikiwa kama mtanzania nisiye na chama chochote cha siasa, lililenga kukosoa kujiunga kwa Lowassa huko CHADEMA.
Maneno hayo sasa yanakuwa ya uhalisia. Tangu Lowassa ajiunge CHADEMA, pamoja na kinachosemwa kuwa CHADEMA/UKAWA imeongeza idadi ya Wabunge na kuminywa kwa demokrasia, wanaCHADEMA kindakindaki wamekuwa kama 'wamejitenga' na chama chao. Wanakosa hoja za kukosoa masuala ya ufisadi kwakuwa waliyekuwa wakimsema sasa wanaye.
Tangu Lowassa kujiunga na CHADEMA, CCM imeibeba ajenda ya kupambana na ufisadi. Haikuwahi kutokea CCM kutamka hadharani kupambana na ufisadi kwenye kampeni zake au hata kwenye utawala wake kwa kujiamini kuliko kuanzia siku Lowassa alipojiunga na CHADEMA. Ufisadi, kama hoja ya kujidai kwa wananchi, umepokwa na CCM toka CHADEMA!
Kimsingi, hata kama ni kimya kimya, Lowassa anaitesa CHADEMA. Anawabana wasipate cha kusema kuhusu ufisadi. Imekuwa rahisi kwasasa kwa wanachama wa CCM kupindisha kila hoja ya ufisadi toka kwa CHADEMA kwa kusema kuwa hata Lowassa aliyesemwa miaka nenda miaka rudi naye yuko CHADEMA.
Kiuharisia=kiuhalisiaHiyo statement naifananisha na Taarifa aliyo itoa Gavana kuhusu mwenendo wa uchumi, imekaa kimapenzi zaidi na siyo kiuharisia
Kamanda umevurugwa. Tangu lini ufisadi ukawa na nyakati. Umelishwa sumu mbaya na wasanii wa siasa! Tumia basi hata akili yako pia kujiongezaUfisadi ni nini? Tupe tafsiri maana kuna "mambo ya nyakati" na huenda nyakati hizo zimepita