Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Mkuu labda ubunifu wake haujakuna mtim wako
Siku hizi amekua sio mbunifu kabisa ni tofauti siku za nyuma alikua anajitahidi.
inaskitisha ndo anapewa kiki kweli kweli,najiuliza tu hamna wakali zaidi yake wakuwaweka pale,kiukweli ni aibu sanaMchovu kweli kweli huyo jamaa eti kama Kuna kivideo alicheza anamlazimisha mtu ku do.. Nikamuona Hovyooo kabisa
huyo sijawah msikia,ila hata yule dada anaitwa kansiime ni anajua sanaUganda wana mtu anaitwa Teacher Mpamire ni hatari.
Amefikia mwisho labda kwenye ubunifu mkuu kama CCM tuSiku hizi amekua sio mbunifu kabisa ni tofauti siku za nyuma alikua anajitahidi.