Acha kulea watoto wenu wa kiume kama mayai, acha kuwa bize na harakati za kimaisha

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia.

TAMAA
vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara mrefu sana/ hii iko mara mbili boss kuhitaji umkaze ili akupe ajira au ukazwe wewe mtaka ajira.

IMANI ZA KISHIRIKINA
Suala la kuingiliwa lipo na mambo ya kishirikina katika imani kwa watafuta pesa/ wagaga wanamshauri mtu akazwe /au akamkaze mme mwenzie ndo atakuwa tajiri nadhani hapo kuna tatizo. Sema huyu anakuwa anakazwa kwa siri sana tofauti na vitoto vya kinondoni na tabata au sinza.

SHULE ZA PRIVATE
Shule za private / ambazo hazina mchanganyiko wa wanafunzi waschana na wavulana iko na mambo hayo ya mapenzi ya jinsia moja. Ushagaji na ushoga.

📌 Janga hili ni la Taifa. Japo serikali inalifumbia macho maana watu wengi waovu ndo wanaonekana wako na nguvu kubwa kwenye jamii. Maana sisi kwa mfano watu weusi tumekuwa tukipokea misaada tukidhni misaada kumbe upigaji watu wanakuja kutangaza mambo yao, hakuna cha bure Duniani tofauti na Roho ya Mwenyezi Mungu.

👤 Serikali inajua kinachoendelea ila sasa iko na nguvu ya kusema au kukemea ili jambo?
Leo hii mtoto wako akikosea akadundwa huyo mtu aliyemdunda unaenda kumfungulia mashtaka . Ndo maana now kila mtu yuko bize na mambo yake. Mtoto anakanywa sio kwamba ananyanyashwa.

👤 Sisi tumelelew na mijeledi ila now tuko vizuri na tunashukhuru maadili yamekaa tunajaribu kukemea vitu fulani watu wanaona kama tunaeneza kumbe sisi tunashangaa upuuzi huu unaoendelea.

Mlee mwanao kwa maadili mema mfunze , mpe hasara na faida, sio kwamba watoto awaelewi hapana we mzazi mwenyew kama ueleweki mtoto ataeleweka sangapi. Akili yako inawaza kudanga. All de time toto lenyewe jinga.

Asante
 
Hao hao mayai ndio wanakula bata ambazo mpaka kufa hutazifikia na ndio wanawachukulieni mademu zenu kilaini, tena wao ndio wanahongwa na wake zenu.
 
Mungu atunusuru kwakweli. Kaka ake Jokate pamoja na malezi ya dini kwa saaana na wazazi kuwa makini mbona ametumbukia huko huko, yani ni mtihani mkubwa sana.
 
Watoto wenu wakichapwa Fimbo shuleni mnalialia

Hivi?

FpOrwsuWcAAA1Eq.jpeg
 
Fimbo ni muhimu sana.
Tatizo la walimu wengi sijui wana tatizo la afya ya akili, wanachapa mtoto kipigo cha mwizi.

Hapa kwenye mkanganyiko wa afya za akili za watu si heri fimbo zikafutwa tu?

Angalia pichani fimbo Ile, mwalimu na mwanafunzi. Yule mtoto pale anaweza kuwa na miaka 6.

Mpige picha mtoto wa miaka 6.
 
Hapa kwenye mkanganyiko wa afya za akili za watu si heri fimbo zikafutwa tu?

Angalia pichani fimbo Ile, mwalimu na mwanafunzi. Yule mtoto pale anaweza kuwa na miaka 6.

Mpige picha mtoto wa miaka 6.
Inategemea na nguvu atakayotumia kumchapa
 
Si kuwa inategemea na afya yake ya akili kama ulivyo sema awali? Kwanini kuwaweka watoto wadogo hatarini kiasi hiki?
Hakuna namna maana walimu lazima wawepo na wanafunzi pia.
Labda changamoto zao zitatuliwe watakaa sawa, maisha magumu waongezewe mishahara.
 
Mtoto kama yuko na maadili toka nyumbani shuleni hawezi kuwa msumbufu, watoto majeuri ndo uwagwa yanapigwa shule. Wanafunzi wako na dharau so na binadamu dharau hapendi adabu watoto hawana. So mzazi unashindw kumkanya mwanao unataka nini sasa acha afunzwe.
 
Back
Top Bottom