Kiukweli dunia ni ya wachache

Hili swala la umaskini wa ukoo huwa linanikatisha sana tamaa ya kupambana coz wanamaanisha hata tupambane vp atuwez kutoboa et sababu koo zetu ni maskini huwa nachukia sana hii kitu
Masking kwenye mifumo hii ya survival of the fittest kutoboa ni ngum sana. Mana kwenye nacho huongezewa
 
Hili swala la umaskini wa ukoo huwa linanikatisha sana tamaa ya kupambana coz wanamaanisha hata tupambane vp atuwez kutoboa et sababu koo zetu ni maskini huwa nachukia sana hii kitu
Usife moyo... Ukoo unaanzisha wewe/mimi .. kwa hiyo ninapaswa kuanza vyema
 
Tatizo jamii zetu watu wanazaa watoto wengi ili waje watunzwe

Matokeo yake kuwagharamia hao viumbe hawawezi ndio tunakuja kuishia huku
 
kaka samahani ndugu yako nimekwama kwenye vibarua vya 7000 kwa siku nisaidie hapa mkuu .
wewe sijui unafeli wapi ila sikia ziko mishe nyingi tu kwa siku unalaza 10k-15k kama siku gemu zuri unalaza 25k-30k sijui uko kwenye mkaa sijui kilimo umefata nini
 
Uliyoandika yamekutokea kweli?
Haya ni masahibu wanayokutana nayo vijana wengi wa Tz.
Mifumo ya uchumi na maendeleo ya Nchi hii siyo rafiki sana kwa shughuli za uchumi na maendeleo. Kwa mfano, kijana analima na kupata mtaji wa biashara (e.g. milioni mbili), anaanzisha biashara ya duka, TRA wanaingia na kumkadiria kodi ya laki nne wakati hiyo ndiyo faida ya biashara yake, achilia mbali kodi ya kibanda, ushuru wa soko, nauli ya bidhaa, luku, simu, n.k. Ni majanga. Ndiyo maana vijana wengi wanakimbilia kuajiriwa japo kwa salary ya 250,000/= kwa mwezi. Watafanyaje sasa.
 
Nimeutumikia mshahara huo kwa miaka 6 sasa.. ukiwa nao kijijini si shda sana ila city center changamoto...
 
Daaa... It is bad moment never passed through
 
Ruvuma, mbinga
Samahani kwakusema ivi labda nitakukwaza ila umejaribu kuhama mkoa?mara nyingi mkoa uliozaliwa na kukulia ningumu kutoboa,Je unakoishi unaweza kufuga maana ufugaji Hawa wakuku broila unalipa sana kwamuda mfupi
 
Kuku sijajaribu... Ila nna ng'ombe wawil ( ndama) na nguruwe 3 wadogo..
Kuhama mkoa shda ni kianzio na kujua perfect destiny..
 
Sijawa mvivu.. napambana, but milango haifunguki...
 
Hiyo namba 3 nimecheka sana..Bila shaka unatania huu uzi inaweza ikawa changamsha genge tuu
 
Samahani kwakusema ivi labda nitakukwaza ila umejaribu kuhama mkoa?mara nyingi mkoa uliozaliwa na kukulia ningumu kutoboa,Je unakoishi unaweza kufuga maana ufugaji Hawa wakuku broila unalipa sana kwamuda mfupi
Kaka tusaidie wengine namna tutakavyoweza kufuga hao kuku
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…