yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,922
- 4,181
Ulitaka afanyeje zaidi ya hapo? Alijitahidi sana hata ulinganisha na performance za wasanii wengine. Kama wadau wengine wanavyosema kuimba huku ukicheza ni ngumu.Ipi Mkuu?
Diamond ni Msanii. Kuna tofauti kati ya Mwanamuziki na Msanii.hajafanya zoezi la kutosha
Nilikuwepo live kupitia SS9mkuu ulikuwepo live, au uliangalia kupitia YouTube ??
ni tofauti kubwaDiamond ni Msanii. Kuna tofauti kati ya Mwanamuziki na Msanii.
Tupe tofauti hiyo mkuu(usiniambie ni Google)Diamond ni Msanii. Kuna tofauti kati ya Mwanamuziki na Msanii.
Kwahiyo? Umeelewa mantiki ya uzi wangu lakini?Mwenzio amesafiri nchi kibao kufanya hizo show unazosema hawez na watu wanatoa pesa kuingia show zake. Hata Iringa tu haijatosha kukuongea taarifa? Ile ya jana haikuwa ya shangwe ilikuwa ya kistaarabu ni tofauti na fiesta zenu.
OK,mkuu vipi kwa Tanzania kulikuwa na msanii nwingine aliyealikwa tofauti na mond?Jana, kwenye tuzo za soka za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), mwanamuziki Diamond alitumbuiza. Katika tuzo hizo zilizofanyika katika jiji la Abuja, nchini Nigeria Diamond alitumbuiza nyimbo nne. Diamond, aliyeambatana na Rayvanny na wachezaji wake wa jukwaani, hakufanya vyema.
Hayo ni maoni yangu binafsi kwa nilivyomuona. Kwanza, Diamond alionyesha jinsi asivyo na pumzi ya kutosha ya kuimba nyimbo zake jukwaani mfululizo. Pili, Diamond muda mwingi aliacha CD iimbe na yeye akiwa kimya au akiongea mambo tofauti na wimbo wake.
Kiukweli, Diamond ni mweupe na mwepesi sana jukwaani katika kutumbuiza. Diamond ana jambo la kulifanyia kazi katika kutumbuiza jukwaani. Au, aishie kurekodi nyimbo zake na aachane na show za stejini. Maana jana alijitahidi tu kujing'ata midomo yake.
Ni yeye tu. Alipata nafasi adimu ya kutuwakilisha. Anahitaji marekebisho kidogo katika performance zakeOK,mkuu vipi kwa Tanzania kulikuwa na msanii nwingine aliyealikwa tofauti na mond?
Haaaaah hili ndio tatizo kuu kwa Maendeleo ya Taifa hili.Angalau aliitwa!wewe lini tuone ulivyo gado?
Acha maneno leta mzikiMzee Utaweza Vumilia Makombora ya Team Simba?
nothing sells more than BrandSija angalia show yake, ila nnacho jua diamond ni performer sasa ukiwa perfomer halafu ukaweza na kuimba ni wachche sana wame fanikiwa, na hasa aliye kuwa mtaalam ni Michael Jackson.
Ila hata kina chris brown siku wana perform huwa hawako vzuri sana kwenye kuimba kwa kuwa ni kaz kweli kweli.
Na ndio maana baadhi ya watu toka mwaka 2013 wana lalamika hilo hilo, ila jamaa haachi kupata show ndio kwanza zina ongezeka so nadhan aongeze tu mazoez ila ni ngumu kubalance performance ya juu na kuimba furesh kwa wasanii wengi, na imani ukimpa kiti akae tuu halafu aimbe ana weza imba poa tuu.
Basi hujui ugumu wa kuimba na kucheza!Mimi si mwanamuziki Mkuu