Kiuhalisia, wanaume ndio walitakiwa watongozwe.

Kiuhalisia, wanaume ndio walitakiwa watongozwe.

Wahindi ndiyo hufanya hivyo, Mwanamke humtongoza mwanaume akikubali huenda kumtolea mahari kabisa...

Cc: Mahondaw
 
Mimi nimetongozwa na mademu jumla watano, niliyemkubalia ni mmoja tu.
Mie wanafika 10, ila sijawahi kukataa hata mara 1...
Tena hao ni wa kutongoza rasmi, achilia mbali wale wanaoonesha dalili kidogo tu, nilikuwa siachi, lazima nitambae na chaki.
 
Mie wanafika 10, ila sijawahi kukataa hata mara 1...
Tena hao ni wa kutongoza rasmi, achilia mbali wale wanaoonesha dalili kidogo tu, nilikuwa siachi, lazima nitambae na chaki.
we ni lazima utakua na muonekano mbaya, kwa hiyo ni limbukeni wa kutongozwa
 
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume... Bosi anatakiwa achague msaidizi bora kulingana na mipango. Na ili mipango iende sawa, huyu msaidizi anapaswa kuenenda sawasawa na mipango ya bosi.

Sijui mtoa mada ulifikiria nini, ila hayo mawazo yako achana nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom