Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,835
- 193,758
Nataka nikukabidhi zana za siyo tu kuyafuta mapenzi bali kuyasahau kabisa...Hahahaha ๐ ๐ ๐ ๐๐พ sawa
Bila kuacha ushahidi wowote...
Nataka nikukabidhi zana za siyo tu kuyafuta mapenzi bali kuyasahau kabisa...Hahahaha ๐ ๐ ๐ ๐๐พ sawa
Utani tu , kuna siku ulinigombeza nimeamua nikuchangamshe tu ๐คฃkwakweli wacha nitulie ๐๐๐๐๐๐พ๐๐พ
ile siku ndo nilkua nmetoka kupigwa kibuti aseeeeeee ๐๐พ๐๐พsina hamuuu,, yaani hasira nje nje๐๐๐๐๐๐Utani tu , kuna siku ulinigombeza nimeamua nikuchangamshe tu ๐คฃ
Hahaha pole sana , kwamba ukitoka kupigwa kibuti ndio unizingue na mimi?ile siku ndo nilkua nmetoka kupigwa kibuti aseeeeeee ๐๐พ๐๐พsina hamuuu,, yaani hasira nje nje๐๐๐๐๐๐
alokwambia wewe tu nani๐๐๐ staki kukumbka mimHahaha pole sana , kwamba ukitoka kupigwa kibuti ndio unizingue na mimi?
๐๐๐๐Ndio yeye anayewapenda kwa njaa na shibe zenu
๐๐๐๐๐Tuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?
Kuna "kiumbe" Katili na Roho mbaya kama Mungu muweza wa yote anayeza kufanya yote yakawa mema lakini akayaacha na kutuumbia mateso makubwa kama vita magonjwa majanga nk na bado katuandalia moto wa milele eti tupambane na kumshinda Shetani hapa duniani..... SHETANI huyu aliyeshindwana naye yeye huko mbinguni akatutupia sisi ili aturubuni na kutuchoma moto?
Kilikukuta kitu dear? Poleee ๐๐๐๐Mapenzi yachomwe moto hakika
Avatar yako hiyo ndio huwa inaniacha nabubujikwa na mapenzi. Hivyo vimodo alafu black flani hivi ya kung'aaa na short hair cut hapo ninakosa kabisa utulivu wa nafsi๐๐๐๐๐๐
Wee em sema kweliii? ๐๐๐๐Avatar yako hiyo ndio huwa inaniacha nabubujikwa na mapenzi. Hivyo vimodo alafu black flani hivi ya kung'aaa na short hair cut hapo ninakosa kabisa utulivu wa nafsi๐
Kweli si utani.Wee em sema kweliii? ๐๐๐๐
Acha tuKilikukuta kitu dear? Poleee ๐๐๐๐
Poleee dear, ๐๐๐๐Acha tu
Asante sanaPoleee dear, ๐๐๐๐
Hope now hutolizwa tena.Asante sana
Kwa ufala huu nlonao ntalia tuuuHope now hutolizwa tena.
Aaaah dear unafeli wapii wewee?Kwa ufala huu nlonao ntalia tuuu