Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

Kiuhalisia hakuna kiu/dhana mapenzi

"Mwenye kupenda ni Mungu maana Mungu atakupenda kwa utimilifu wako na kwa madhaifu yako bila kukuhukumu".
Tuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?

Kuna "kiumbe" Katili na Roho mbaya kama Mungu muweza wa yote anayeza kufanya yote yakawa mema lakini akayaacha na kutuumbia mateso makubwa kama vita magonjwa majanga nk na bado katuandalia moto wa milele eti tupambane na kumshinda Shetani hapa duniani..... SHETANI huyu aliyeshindwana naye yeye huko mbinguni akatutupia sisi ili aturubuni na kutuchoma moto?
 
The Lord had set his standards, one woman one man for one life time. We have fallen short of this and are now blaming him!

Remember even if you've not slept with her but you lust for her you did sleep with her.

Unaweza ukawa hujalala na mtu but truly truly you've slept with hudreds on porn hub! ! You finally come marry your wife / husband unamuona hana maajabu.

Inshort, matatizo yote yamesababishwa na kupindisha standards za mwanzilisha ndoa mwenyewe.
Dhana ya mke mmoja kwa mume mmoja ni mufilisi.Haiendani na asili ya wanyama ikiwemo binadamu na ndipo hapo tunarudi kwa watu wa kale baadhi ya jamii zilibidi kukubaliana na ndoa za wake wengi maana hiyo ndio asili.
 
Tuanze na hapa kwanza........ Kwamba Mungu hatatuhukumu kwa madhaifu aliyotuumbia mwenyewe? Au huo moto wa jehanamu umekaririsha kamuumbia nani?

Kuna kiumbe Katili na Roho mbaya kama Mungu muweza wa yote anayeza kufanya yote yakawa mema lakini akayaacha na kutuumbia mateso makubwa kama vita magonjwa majanga nk na bado katuandalia moto wa milele eti tupambane na kumshinda Shetani hapa duniani..... SHETANI huyu aliyeshindwana naye yeye huko mbinguni akatutupia sisi ili aturubuni na kutuchoma moto?
Turudi kwenye msingi wa hoja.

Siku nyingine tutadadavua vyema FALSAFA YA UMUNGU NA MAISHA YA VIUMBE HAI.
 
Hawana hoja zaidi ya kudai umetoka nnje ya mada
 
Dhana ya mke mmoja kwa mume mmoja ni mufilisi.Haiendani na asili ya wanyama ikiwemo binadamu na ndipo hapo tunarudi kwa watu wa kale baadhi ya jamii zilibidi kukubaliana na ndoa za wake wengi maana hiyo ndio asili.
Binadamu sio mnyama you've been deceived. Toa kabisa huo uongo kichwani. You're the image of God himself.

I believe God has made provision for Polygamy, even then, whoever wants to practice this should be honest and agree that at some point he did fall short of God's standards ndomana amefikia hatua hata kumuona huyo mmoja hamtoshi.
 
Turudi kwenye msingi wa hoja.

Siku nyingine tutadadavua vyema FALSAFA YA UMUNGU NA MAISHA YA VIUMBE HAI.
Msingi wa HOJA ni UPENDO wa dhati ni WA MUNGU TU...... Wabinadamu ni UBATILI MTUPU

Kabla hatujaona huo wa binadamu kwanza hebu tudadafue huu wa kweli wa Mungu ni upi?
 
Binadamu sio mnyama you've been deceived. Toa kabisa huo uongo kichwani. You're the image of God himself.

I believe God has made provision for Polygamy, even then, whoever wants to practice this should be honest and agree that at some point he did fall short of God's standards ndomana amefikia hatua hata kumuona huyo mmoja hamtoshi.
Nyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.

Jadili mada kwa msingi wa kichwa cha habari stop this divesions!!!!
 
Mapenzi ni hisia. Na kati ya mwanaume na mwanamke anaetakiwa kuwa na hisia kimaamuzi ni mwanamke, ukiona mwanamke hana hisia jua hakuna mapenzi hapo.

Kimsingi wanawake wa sasa wanahisia na hela na mali. By definition mwanamke anayefanya mahusiano ili kupata mali huyo tunaita ni kahaba na kulala na wanaume wengi ni umalaya.

So kuhitimisha,kwasasa hakuna mapenzi,kuna ukahaba na umalaya kwa asilimia kubwa.
 
Nyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.

Jadili mada kwa msingi wa kichwa cha habari stop this divesions!!!!
You can't take The Lord out of anything involving life. He has the manual for navigating this.

Endelea kutibu kichwa na painkillers wakati ulipaswa kwenda kufanyiwa operation kutoa maji kichwani.
 
Nyie religious fanatics mnashida sana na dini zenu hizo za kuletewa.

Jadili mada kwa msingi wa kichwa cha habari stop this divesions!!!!
Mkuu ni wewe ndio umeleta habari za Mungu
Umejenga HOJA yako nzima ukaiwekea msingi ni Upendo wa kweli ni wa Mungu tu

The way i see it........ ni kwamba Mke wangu ANANIPENDA na KUNIJALI kuliko Mungu wako kwa mbali mmno
Mungu hayupo kabisa kwenye msamiati wa upendo
 
Kutojibu hiyo hoja anafanya uzi wake uchache bila kujielewa
 
Back
Top Bottom