juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Kama watu tuliungana vyama vinne ili kuiangusha ccm na bado tukashindwa,ubunge tukazidiwa,udiwani tukazidiwa,kura za uraisi tukazidiwa na hata serikali za mitaa tukazidiwa,sasa hapo bado unaamini kuna upinzani imara?
Hapohapo mara vyama vya upinzani vinaparurana na kufukuzana,mwenyekiti na katibu hawapikiki chungu kimoja,bado unaamini kuna upinzani imara?tukubali au tukatae ni kwamba kiufupi wananchi wote automatically ni ccm tu,ila hivi vyama vya upinzani vina wenyewe,sisi wengine tunapiga kelele tu ,wale waasisi na viongozi ndio wenye vyama vyao,au wewe mwenzangu unaonanaje?