[h=2]Kiu ya ndoa kwa wadada yaleta mapinduzi[/h]![]()
Tunapoelekea hali ndio itakuwa hivi, wanawake wana propose wanauume
maisha ni mbinu, mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda,
"The era has really changed".
[h=2]Kiu ya ndoa kwa wadada yaleta mapinduzi[/h]![]()
Tunapoelekea hali ndio itakuwa hivi, wanawake wana propose wanauume
maisha ni mbinu, mtaka cha uvunguni sharti ainue kitanda,
answer my questions kwanza kule kule
sawa bwana tutegeni sie si mnatuita mambuzi. kilio changu tutegeni basi kwa heshima. nikikupa mfano navyotegwa mie hapa napoishi mbona utanihurumia huwa nakuwa mdogo kama mbegu ya mchicha.
tunaiharibu necha tukishafika huko msisimko anaoupata mwanaume kwa kupropose ataukosa na raha anayoipata mwanamke kwa kuwa proposed haitakuwepo tena wala siombei kabisa tufike huko.
Mbona tunaelekea huko. Kwa sasa vijana wengi ukiwaambia suala la kuoa anakucheka kabla ya kukupa kisingizio cha ngumbalu. Wao kuoa hawataki bali wanataka tu kuvua chupi waze za watu/marafiki zao.
ndo maana siku hizi idadi ya matahira inaongezeka maanake kuwa tahira sio mpaka uwe unadondosha mate chini,uvivu mtoto wa kiume kuiga tabia za kie na vice versa vyote viko chini ya utahira ,poor thing our society is vanishing.
I thought you would say "very interesting"Kumbe eh?
Usiyajali hayo, wewe kama uko sawa kichwani ni kuachana tu na hawa wapenda wake wa marafiki zao.
kweli mkuu though ukizungukwa nao sio rahisi kuwapuuzia na kusonga mbele na mambo yako.