xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
- Thread starter
- #21
hiyo ipo sana sema wanawake wanatongoza kivitendo wanaume wengi wanategwa bila kujijua hawashangai sometime wanatongoza inakuwa kama kumsukuma mlevi kumbe ulikuwa unatamaniwa siku nyingi
Kumbe ndio ilivyo,maana kuna michakato mingine mpaka unajiuliza hivi mimi ni handsome kiasi hiki mpaka imekuwa rahisi hivi