Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Aiseee ngoja nifanye niolewe kabla mambo hayajafika huko maana hata goti sijui kupiga......lol
ha haaaa masharti yangu unaweza shindwa kuyafuata
ha haaaa kumbe ndo hivyo?Masharti naweka mimi sio wewe ... Wewe unayafata tu. Kumbuka me ndio nitakupa pete na kupiga goti.
ha haaaa kumbe ndo hivyo?
nilikuwa hata sijagundua bado
sasa hapo unaomba nikuoe au unaoa wewe?
Hapo naomba unioe.
ahaa kumbe ndiyo maana! unajua nilikuwa najiuliza hivi huyu dada hanitegi kweli au mawenge yangu tu? Lakini dada zetu kumtega mtu mzima kama samaki sio fresh.
Hii ipo lakini haijawa hadharani sana, maana kuna mabinti wanalipa kabisa mahari kwa siri ili waolewe.
hiyo ipo sana sema wanawake wanatongoza kivitendo wanaume wengi wanategwa bila kujijua hawashangai sometime wanatongoza inakuwa kama kumsukuma mlevi kumbe ulikuwa unatamaniwa siku nyingi
sawa bwana tutegeni sie si mnatuita mambuzi. kilio changu tutegeni basi kwa heshima. nikikupa mfano navyotegwa mie hapa napoishi mbona utanihurumia huwa nakuwa mdogo kama mbegu ya mchicha.hahahaha hivi hivi nikija from nowhere nikwambie nakupenda utajisikiaje??? mtego ndo nzuri unapewa point kwa njia za panya lol
huu ndio ukweli wenyewe. nakumbuka kuna mdada nilikuwa nakutana naye kwenye mishe zangu ila nilikuwa namheshimu kulingana na alivyo. siku zilivyozidi kwenda akawa ananijengea ukaribu naye sana! kuna siku nilimpa bussiness card yangu alitoa tabasamu hilo. muda mfupi tuu akanitafuta. mpaka leo nilishakula mzigo
then masharti yangu ndo yatazingatiwa
You are the man I have been searching for.... Leta masharti yako sasa...