Kiu ya wanawake wa kisasa ni size ya wallet yako tu hakuna tena mapenzi!!!
Kwa sisi walala hoi hapa hapatuhusu kwa mujibu wa nukuu yako hii.
Kiu ya wanawake wa kisasa ni size ya wallet yako tu hakuna tena mapenzi!!!
hihihihihi ndo maana naipenda JF cause hunipa furaha na kunifanya nicheke, sasa hii breki ya kisigino ikoje?Mkuu nimekuja nduki, umenifanya nipige breki ya kisigino. Acha nirudi nilipokuwa bhana.
Hahahahahahahaha... Ukipata nafasi nitafute nitakufundisha mamito.hihihihihi ndo maana naipenda JF cause hunipa furaha na kunifanya nicheke, sasa hii breki ya kisigino ikoje?
Hahahahahahahaha... Ukipata nafasi nitafute nitakufundisha mamito.
Sijui ni maandiko ya wapi umeyasoma! Mwanamke ni ufahari wa mwanaumme na mwanaumme ni ufahari wa Mwenyezi Mungu. Jisomee 1 Corinthians 11: 7-9
"............since he is the image and glory of God, but a woman is the glory of man. For a man is not from a woman, but a woman from a man. Nor was a man created for the woman but a woman for the man."
Also be aware that being last in this world is the will of God and He will exalt you in due course.
"Comfort yourself with these words." 1 Thessalonians 4: 18
Kiu ya mwanamke kupendwa jama....atleast for me
Kiu ya wanawake wa kisasa ni size ya wallet yako tu hakuna tena mapenzi!!!
Tangia abanduliwe ubavuni mwangu
.............Asichonacho hata miye sikihitaji na hili halina usiri!
.......La ajabu ni hii kiu yake ambaye inapingana nami!
Kumtulizia kiu yake lazima nijisalimishe kwake!
......
HahahahahHahaha haujaharibu ni hali halisi ..........!:smokin:huo ubeti wa mwisho umeharibu thatha.......................:smokin:
Rutashubanyuma narudia tena kusoma upya halafu narudi.
Rutashubanyuma narudia tena kusoma upya halafu narudi.
Nenda mbele basi hadi verse ya 11 na 12 ya para hiyo hiyo na kitabu hichohicho.
Kweli ni ajabu, hata mie huwa nashangaa,
ujasiriamali wakuwezeshwa..........na kuwezeshana!hayo sio mapenzi ni mambo mengine, huo ni ujasiriamali
ah mshairi mzuri huyu anapangilia maneno nimeipenda hii