KIU YA MWANAMKE:.......waijua wewe?

KIU YA MWANAMKE:.......waijua wewe?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,504
Reaction score
911,249
1) Tangia abanduliwe ubavuni mwangu
Haachi usumbufu wake kwangu, arghh!
Kisa ni kiu yake apendayo niitulize vilivyo!
Lolote nilifanyalo haridhiki hadi hilo nimfanzie!

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

2) Kunipenda yaani hana jinsi, yabidi tu!
Kama alinyofolewa ubavuni kwangu!
Watarajia nini kama siyo kuwa na upendo?
Aniumapo sikio nikunihakikishia mahaba tu!
Kiu ya mwanamke waijua wewe?

3)
Ubavu wangu wa mashoto umejaa mahaba!
Asiponipenda hivi atapenda nini haswa walakini?
Alichonacho alipewa kwa matumizi yangu wajamani!
Asichonacho hata miye sikihitaji na hili halina usiri!

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

4) La ajabu ni hii kiu yake ambaye inapingana nami!
Kumtulizia kiu yake lazima nijisalimishe kwake!
Aliumbwa anitumikie sasa ataka kunigeuzia kibao!
Kunitawala ndiyo hulka yake nami ananikwaza

Kiu ya mwanamke waijua wewe?
 
Ruta mimi ni muhanga wa tukio la Bomu hapa Arusha jumapili! Unaleta mapenzi nichangie kweli badala yakunipa pole?????:mmph:
 
3)
Ubavu wangu wa mashoto umejaa mahaba!
Asiponipenda hivi atapenda nini haswa walakini?
Alichonacho alipewa kwa matumizi yangu wajamani!
Asichonacho hata miye sikihitaji na hili halina usiri!

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

Hayo maneno utafanya mafirauni waendelee kuhalalisha Kabang, hebu ya-edit ili kuweka mambo sawa.
Jibu la swali kuhusu kiu ya mwanamke ni KUPENDWA.
 
1) Tangia abanduliwe ubavuni mwangu
Haachi usumbufu wake kwangu, arghh!
Kisa ni kiu yake apendayo niitulize vilivyo!
Lolote nilifanyalo haridhiki hadi hilo nimfanzie!

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

2) Kunipenda yaani hana jinsi, yabidi tu!
Kama alinyofolewa ubavuni kwangu!
Watarajia nini kama siyo kuwa na upendo?
Aniumapo sikio nikunihakikishia mahaba tu!
Kiu ya mwanamke waijua wewe?

3)
Ubavu wangu wa mashoto umejaa mahaba!
Asiponipenda hivi atapenda nini haswa walakini?
Alichonacho alipewa kwa matumizi yangu wajamani!
Asichonacho hata miye sikihitaji na hili halina usiri!

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

4) La ajabu ni hii kiu yake ambaye inapingana nami!
Kumtulizia kiu yake lazima nijisalimishe kwake!
Aliumbwa anitumikie sasa ataka kunigeuzia kibao!
Kunitawala ndiyo hulka yake nami ananikwaza

Kiu ya mwanamke waijua wewe?

Kwenye red hapo haswaaa, ingawa unatakiwa uweke mpaka.
Ubeti wa mwisho, pamoja,
 
Ukweli siku zote wauma na kukereketa haswa..................kwahiyo sishangai!

huo ubeti wa mwisho ni ukweli mtupu, wanawake wana maajabu sana, wenyewe hawajui wanataka nini, je kiu yao utaijua wewe?
 
Mkuu nimekupata vizuri sana… na hii ndio kiu haswa tunayoijua ndio maana "Alichonacho alipewa kwa matumizi yangu wajamani!" Lakini siku hizi kuna kiu za kisasa au kiu feki ambazo hupelekea "Aliumbwa anitumikie sasa ataka kunigeuzia kibao" well done kaka
 
Back
Top Bottom