KIU medicine wako juu!

KIU ni sawa na dem* mzuri lakn K yake imechoka
 
Huu ndiyo umbulula tunaita kwahyo majengo tu yamekufanya uamini ni chuo kizuri
Mkuu vyuo vinavyotoa MD wanaoeleweka tz ni vitatu tu muhimbili,bugando na kcmc
Vingine vinafata
 
Huu ndiyo umbulula tunaita kwahyo majengo tu yamekufanya uamini ni chuo kizuri
Mkuu vyuo vinavyotoa MD wanaoeleweka tz ni vitatu tu muhimbili,bugando na kcmc
Vingine vinafata
Kimenuka tayari mkuu...
Kuna uzi unahang kuhusu hiki chuo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…