Kwa iyo?Hawa jamaa pamoja na kelele zote lakini kwa miundo mbinu kwa kozi za afy wamejipanga sana.Maktaba,maabara,walimu wa kutosha japo naambiwa wengi sio Watanzania na madarasa ya kutosha sikuamini. Nilifika chuoni hapo kujionea hali halisi nilipowapeleka vijana wangu ambao ninawagharamia mimi masomo yao baada ya kukosa mikopo sababu eti walisoma shule binafsi, nimejionea mwenyewe maana nilihofu kupoteza pesa zangu baada ya kusikiasikia kelele nyingi sana kuhusu chuo hicho.
Sijuo miundombinu ikoje kwa kozi zingine lakini kwa upande wa afya they are very smart.
Watz ni wepesi sana kufkriaPromo on fleek, bila shaka wewe ni meneja masoko wa KIU
Kuna vitu vingi vinavyo ashiria ubora wa program-kimoja wapo ni miundo mbinu. Mchangiaji amezungumzia miundo mbinu tu baada ya kuiona. Sioni tatizo liko wapi mwenye kitu tofauti kuhusu miundombinu aseme. Program za KIU zimekuwa na misuko suko mingi hapa JF na kuanza kujenga taswira isiyopendeza hivyo kama kunakitu positive ni vizuri kisemwe na chuo kipate heshima ile kinastahili. Baada ya kuzuia vyuo kama 3 kudahili mwaka huu na KIU imeruhusiwa pia ni sifa nzuri kwa chuo.Kweli bongo ni nchi ya ajabu,yan kufika chuo siku moja ushapima na ubora wake.
Leo ,kesho mnaanza migomoKIU bonge la chuo, mimi ni mwanafunzi pale kiukweli nimeshangaa kuona tofauti kubwa kati ya nilichokikuta na nilichoambiwa kuhusu KIU.
My take: serikali yetu ina tabia ya kuinua ubaya wao na na kuponda uzuri wa wengine, vyuo vingi vya serikali ukilinganisha na KIU ni uchwara tu, mfano kozi ya udaktari inayotolewa pale udsm hakuna kitu ni ujanja ujanja tu, vyuo kama NIT, ubungo maji ni vyuo vya mashaka sana ukilinganisha na vyuo vingi serikali inavyo beza, serikali ingeangalia vyuo vyao kwanza kuna madudu mengi licha ya ukongwe.
Mimeambiwa baada ya kukaguliwa kwenye mpangilio wa program za Afya na miundombinu yake, kimekua chuo kikuu cha kwanza East Afrika.Wale jamaa wanakimbia kwa kasi sana na nahisi kinaweza kua chuo kibwa sana hapa Tz kupita hata UDOM.Tatizo la misuko suko ya awali wanasema ni hakukua na mawasiliano mazuri na mamlaka za mabaraza ya Usajili wa kozi.Kipo poa tuacheni ushabiki nakufata mikumbo niliwahi kwenda pale kwakweli wapo juu
Mimeambiwa baada ya kukaguliwa kwenye mpangilio wa program za Afya na miundombinu yake, kimekua chuo kikuu cha kwanza East Afrika.Wale jamaa wanakimbia kwa kasi sana na nahisi kinaweza kua chuo kibwa sana hapa Tz kupita hata UDOM.Tatizo la misuko suko ya awali wanasema ni hakukua na mawasiliano mazuri na mamlaka za mabaraza ya Usajili wa kozi.
Hahah hatari sana.watakua hawakuwa na chemistry ya kutosha walipoamua kuja huku kufanya prmonimeambiwa, nasikia, wanasema
duuuh! mkuu pole wewe sijui unaishi zama zipi, hujui kama udsm kuna watu wanachukua doctor of medicine(MD), nina mashaka kama kweli wewe ni mdau wa elimuUdsm wanatoa course gani ya udaktari??
Au unaongelea doctorate of philosophy PhD??
Hapo ndo utajua wengi mnapiga debe bila uelewa sijui hata km ni wana taaluma
hahahahaha! nimependa ulivyo ni criticise kwa ujasiri, utadhani nimekosea pole sanaUdsm wanatoa course gani ya udaktari??
Au unaongelea doctorate of philosophy PhD??
Hapo ndo utajua wengi mnapiga debe bila uelewa sijui hata km ni wana taaluma
Basi umekuja unajiamini mwenyewe..Udsm wanatoa course gani ya udaktari??
Au unaongelea doctorate of philosophy PhD??
Hapo ndo utajua wengi mnapiga debe bila uelewa sijui hata km ni wana taaluma
😀😀😀 mkuu jamaa kanichekesha sana kaja juujuu, kumbe elimu kaachana nayo miaka ya 80Basi umekuja unajiamini mwenyewe..Sa hapa wewe ni mwanataaluma au mpiga debe????
Acha ujuaji
Chuo cha kwanza kimekua KCMC mkuu.Mimeambiwa baada ya kukaguliwa kwenye mpangilio wa program za Afya na miundombinu yake, kimekua chuo kikuu cha kwanza East Afrika.Wale jamaa wanakimbia kwa kasi sana na nahisi kinaweza kua chuo kibwa sana hapa Tz kupita hata UDOM.Tatizo la misuko suko ya awali wanasema ni hakukua na mawasiliano mazuri na mamlaka za mabaraza ya Usajili wa kozi.