Elections 2010 Kitwete/lipumba kumekucha

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Wale jamaa wanaowanadi wagombea uraisi kwa tkt ya ccm na cuf pale buguruni relin(nmc) wameanza kazi yao rasm.swali langu ni: nani anawaweka hapo.uchaguzi uliopita niliwaona wakiwa na marundo ya juice,maji na biskuti,nani anawapa?
 
Wewe hujakatazwa kufanya hivyo,kama unaona hiyo staili inakufaa nawe nenda kashinde juani pale na kila kitu utatimiziwa.Wabongo bwana!watu wamepata ajira mijitu mingine inaona gere,mbona we hawakujadili katika kazi yako?Acheni roho mbaya!
 
Pengo usimfokee hiyo ni rushwa, hata wewe unakili nafsini mwako, japo wewe na mimi tunajua pia kabisa kuwa, when it comes inaweza ikageuka ikawa siyo rushwa,....safi sana!
 
Neno sahihi ni "unakiri". Jifunze kutofautisha kati ya "L" na "R"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom