OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,102
- 114,697
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Ndg.Kitwanga amesema yaliyotokea anamuachia Mungu,amesema hayo jana baada ya kurudi toka Israel alipokwenda kwa shughuli binafsi.
Mh.Kitwanga amesema sasa anajikita kupigania maendeleo jimboni kwake na anatarajia jumatano kurejea bungeni. Bwana Kitwanga alifukuzwa kazi na rais Magufuli kwa kile kilichotajwa kuwa ni kuingia bungeni akiwa kalewa