Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,021
Mungu gani? Mungu wa Ibrahimu na Yakobo? Ah! Mbona mungu huyo hagongi pombe? Atamwachia mungu gani? Mungu wa walevi?
Una uhakika alikuwa kalewa pombe?Amwachie Mungu kwani Mungu ndiye aliyemnumnulia pombe? Hii tabia ya kukwepa kukubali makosa yetu na kujaribu kila mara tunapofanya makosa kukwepa kukubali makosa haitufikishi popote.
Waswahili na imani zao za kishirikina. Balozi kashfa iliyomuondoa ni ya ubadhilifu wake na Dr. Dau mbona hilo lipo wazi na tulishangaa yeye alicheleweshwaje kuondoka wakazi mwenzie aliondolewa kiustaarabu. huyu mwingine ni issue ya Lugumi na Kwenda Bungeni amekunywa satan's urine. sasa hilo nalo lina hitaj uvae miwani uone? acheni mambo ya kishirikina jaman. yaani bado mmegoa kuelimika? dr dau is gone is gone mbona anafanya maisha mengine huko aliko? si ni balozi? bado anatengeneza pesa nyingi tu huko.
Wapinzani ndiyo mmeponzeka maana Mwigulu ndiye balaa zaidisaid kamponza
Unazungumzia Ushirikina kwa waswahili Pwani? ushaskia Pwani wanaua Mabibi wenye Macho mekundu, ushaskia waswahili tunaua Albino, ushaskia tunaua Vikongwe?
Unachopaswa kujua ni kuwa Wafitini wa Dr. Dau Majibu ya Fitna yao wameyapata kwa kadri Mungu alivyojaalia hizo sababu baki nazo wewe! Tena wameondoka kwa udhalili ZAIDI.
'Falyatanaafasil fasilmutanaafisuun'.... Kama kushindana basi shindaneni kwa mambo mazuri mazuri...... sio fitna za kupika kupitia kipeperushi cha Dira.
aisee kumbe we ni wapwani? mi sijui kama nmetaja watu wa eneo gani. hizi ni imani za kishirikina. kama yaliyotokea yanaonekana na unayaangalia kisayansi ni ya kawaida. sijaona hapo hayo majini yamejiingizaje kusema eti ni yeye aliyesababisha....ukiwa na imani za kishirikina unakuwa na upeo mdogo sana wa kujaji. we huoni kuwa nimekueleza mambo yaliyowaondoa hao watu?
mimi pia nlishiriki kusema dr dau hafai mpe taarifa atume majini kama yatafanya kazi kwangu. wengi tu walishiriki kusema hafai amesababisha upotevu mkubwa wa pesa. sidhan kama hilo ni kosa. wewe unaleta mambo ya dini kwenye mambo ambayo yako wazo yanaonekana kabisa kuwa ni ya wazi hayana kificho?????????????????? huu ni ujinga wa waswahili wamejawa na ushirikina kila sehemu.
ingekuwa inasaidia sidhan kama leo hii waisrael wanavyochukiwa na waliowazunguka wangekuwepo. badala yake wanaowazunguka na wanaowachukia ndo wanachinjana wenyewe kwa wenyewe na wenzao wana zidi kukua. miafrika ni mijinga sana na haya maimani ya kishetani yanafanya kaz to blind people. mi nashauri watu msome muelimike na pia muwe na uwezo kwa reason. mmuamini Mungu anayesisitiza kupendana,kuheshimiana,kujaliana ,kukarimiana n.k maujinga ujinga ya kuchinjana na kudhuliana wekeni pembeni. binadamu wote wanastahili kuishi kwa amani na upendo. wa dini zote ....na ndo ujinga wa watu wengi kugombania dini... dini si jambo la kujivunia. jivunie matendo mema,upendo na ushirikiano kwa binadamu wenzako pasipo kuangalia dini zao. na ndo maana wenye akili wana mjaji mtu kwa matendo yake si dini ,rangi wala kabila.
Aiseee pray for diraHivi inakuaje Wapishi wa Fitna dhidi ya Dr. Dau wamesambaratika kwa haraka sana chini ya Miezi sita?
1) Balozi Muombeeni
2) Mlevi wa Misungwi
3) Kipeperushi cha Dira, sasa kimekanyaga Kimba Jeshini Mhariri anashughulikiwa ipasavyo tangu juzi usiku.
AfadhaliKitwanga Ameokoka sasa,kampokea Yesu
NNani alimpa kibali cha kusafiria?tuanzie hapo.
swissme
Kwani kiwanda kimefungwa?Kachape kazi
Nayeye atashughulikiwa tuHivi inakuaje Wapishi wa Fitna dhidi ya Dr. Dau wamesambaratika kwa haraka sana chini ya Miezi sita?
1) Balozi Muombeeni
2) Mlevi wa Misungwi
3) Kipeperushi cha Dira, sasa kimekanyaga Kimba Jeshini Mhariri anashughulikiwa ipasavyo tangu juzi usiku.