Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,900
- 9,821
Google mkuuJamani mwenye historia ya hii nchi kwa ufupi yaani kuna rais wangapi wastaafu na hali ya maendeleo ikoje haswa?
Google mkuuJamani mwenye historia ya hii nchi kwa ufupi yaani kuna rais wangapi wastaafu na hali ya maendeleo ikoje haswa?
Jidanganyeni, ikiwa mmegota kuwaza kuindoa CCM kwa sanduku la kura 2020 mnaanza kuilalia mlango wazi bahati ya jirani mtaliwa na fisi bure.
Katika hali ya kawaida, upinzani wa sasa ikiulinganisha na ule wa akina Slaa huu wa sasa umerejea nyuma na hauna mwelekeo na hata matamko wanayotoa ni upuuzi tu. Hakuna kitakachotokea ni bora wajipange upya. Mfano Chadema kuna vijana kama Mnyika na Mwalimu, hawa wangepewa fursa chama kingeweza kusonga mbele. Sasa wanaharakati kama LISSU ndio wanapewa nafas. Chama hii itakufa kifo cha kawaida
Teh teh umeishiwa hoja sasa kama wapinzani wa nchi hii. Hapo sasa ndo huwa mnafeli.Kamongo wewe huna jipya
Teh teh umeishiwa hoja sasa kama wapinzani wa nchi hii. Hapo sasa ndo huwa mnafeli.
Namkumba Slaa wa uponzani aliyenishawishi kwa sera 2010 hadi nikampigia kura ya rais na wala sikujuta hadi leo.
M7, Kagame, Nkrunzinza na El-sis.Baada ya hapo je....