Weka source ya habari yako...Baada ya Algeria na Sudan sasa ni Chad kwa Idriss DebyView attachment 1077257View attachment 1077258
Kama dola ya kirumi ilidondoka , hiyo takataka yako ccm ni dakika 0 tuu
Ni watu kujielewa tuu walau wapate akili kama wasudani
Hata akina bashir walijifariji kuwa wana taasisi imara zenye uwezo wa kuzuia maandamano popote pale.Bado sana CCM ni taasisi kubwa na taasisi nyeti kuliko zote Tanzania wakati huko yanakotokea mapinduzi ni Mtu mmoja anapinduliwa na sio taasisi.
Hebu wasaidie hawa vilaza.Bado sana CCM ni taasisi kubwa na taasisi nyeti kuliko zote Tanzania wakati huko yanakotokea mapinduzi ni Mtu mmoja anapinduliwa na sio taasisi.
Wakiacha uswahiliwatajielewa lini?
Teh teh teh! 😂😂😂 we jamaa bhana........Hata sasa CCM sio taasisi tena!! Ndio maana watu wanahamia kuunga mkono juhudi za Kamongo na si sera wala itikadi za CCM!
Jidanganyeni, ikiwa mmegota kuwaza kuindoa CCM kwa sanduku la kura 2020 mnaanza kuilalia mlango wazi bahati ya jirani mtaliwa na fisi bure.Msijifariji!! CCM sio tena chama cha siasa badi ni dola kamili. Na CCM ya sasa ni ya kamongo na wote wanaoingia huko humfuata yeye na sio sera wala itikadi.
Unamjua al bashir na bouteflika ni madoctator hasa na walilijenga jeshi liwatii wameng'okaBado sana CCM ni taasisi kubwa na taasisi nyeti kuliko zote Tanzania wakati huko yanakotokea mapinduzi ni Mtu mmoja anapinduliwa na sio taasisi.
Africa kucheleKituo kinachofuta ni rwanda kije uganda alafu kije hii njia ya nanii...
cjaelewa inamaana na Chad kinaanza kunuka?Baada ya Algeria na Sudan sasa ni Chad kwa Idriss Deby
View attachment 1077258