Kituo kinachufuata ni Chad kwa Deby

Kituo kinachufuata ni Chad kwa Deby

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Baada ya Algeria na Sudan sasa ni Chad kwa Idriss Deby
IMG_20190421_091154.jpeg
 
kadri wenzetu wanavyojikomboa ndivyo tunapata elimu ya kujitambua. naam one day yes. kwa huyu dicteta ccm

sio kweli, CCM ishakuwa na marais watano mpaka sasa!! ni taasisi ile

hao wanaopinduliwa hawana taasis ni ome man show

au chadema ingekuwa ndio inaongoza nchi na rais Mbowe anabadili katiba kubaki madarakani mngepinduliwa

just think
 
Tanzania na CCM ni tofauti na hao waliojigeuza wafalme au wao pekee ndio wana akili ndani ya nchi sijui hata kama hujiuliza s8ki wakifa nani ataongoza.

CCM hubadili uongozi kila baada ya miaka 10 kwa hiyo wananchi hawawezi kuhangaika mapinduzi zaidi ya kusubiri uchaguzi ndani ya CCM na nchi.

BTW Tanzania hatuna vyama vya upinzani zaidi ya NGO. Viongozi wameanzisha magenge ili wapate majukwaa kusukuma siku ziende ndio maana hata wakienda kulalama kwa mabeberu wanapuuzwa
 
Bado sana CCM ni taasisi kubwa na taasisi nyeti kuliko zote Tanzania wakati huko yanakotokea mapinduzi ni Mtu mmoja anapinduliwa na sio taasisi.
Sawa bana hata bashir aliwahi Kuwaita mende hawawezi pindua kabati.ila bei ya mkate tu watu wakaamua.we MPE kichwa mshamba wenu tu
 
Hata sasa CCM sio taasisi tena!! Ndio maana watu wanahamia kuunga mkono juhudi za Kamongo na si sera wala itikadi za CCM!
sio kweli, CCM ishakuwa na marais watano mpaka sasa!! ni taasisi ile

hao wanaopinduliwa hawana taasis ni ome man show

au chadema ingekuwa ndio inaongoza nchi na rais Mbowe anabadili katiba kubaki madarakani mngepinduliwa

just think
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msijifariji!! CCM sio tena chama cha siasa badi ni dola kamili. Na CCM ya sasa ni ya kamongo na wote wanaoingia huko humfuata yeye na sio sera wala itikadi.
Tanzania na CCM ni tofauti na hao waliojigeuza wafalme au wao pekee ndio wana akili ndani ya nchi sijui hata kama hujiuliza s8ki wakifa nani ataongoza.

CCM hubadili uongozi kila baada ya miaka 10 kwa hiyo wananchi hawawezi kuhangaika mapinduzi zaidi ya kusubiri uchaguzi ndani ya CCM na nchi.

BTW Tanzania hatuna vyama vya upinzani zaidi ya NGO. Viongozi wameanzisha magenge ili wapate majukwaa kusukuma siku ziende ndio maana hata wakienda kulalama kwa mabeberu wanapuuzwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bado sana CCM ni taasisi kubwa na taasisi nyeti kuliko zote Tanzania wakati huko yanakotokea mapinduzi ni Mtu mmoja anapinduliwa na sio taasisi.
Kama dola ya kirumi ilidondoka , hiyo takataka yako ccm ni dakika 0 tuu

Ni watu kujielewa tuu walau wapate akili kama wasudani
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Msijifariji!! CCM sio tena chama cha siasa badi ni dola kamili. Na CCM ya sasa ni ya kamongo na wote wanaoingia huko humfuata yeye na sio sera wala itikadi.

naona unajipa moyo

JPM hana nguvu ndani ya CCM, trust me

na siasa zenu mmeshindwa kucheza na right people mmetukana CCM yote

mtafute Lumumba wa Kenya, ukueleweshe how ccm is, can and will always be a strong political party
 
Siasa zetu na nani? Mimi sina upande wowote ktk siasa! Usijadili kwa ushabiki we kamongo!!

Zamani tulizoea kusikia watu wakihamia CCM kufuata sera ila siku hizi utasikia nimekuja kuunga juhudi za KAMONGO aka JIWE

Back
Top Bottom