Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,964
- 82,302
- Thread starter
- #21
Mkitufunga nitalia sana ๐ ๐คฃ ๐ ๐ญYani mtaumbuka vibaya mnooo...
Yani hapa umepuyanga...ndo maana nasema ukiwa shabiki wa uto fyuzi moja inalegea...๐๐๐๐
Pole mtani Vincenzo Jr
Ingekua ndo mpira uko hivyo basi tungekua tunawafunga
6 -0 kila msimu...