Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) chataka wabunge waliosimamishwa warejeshwe bungeni

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292

Siku moja baada ya kuibuka vurugu bungeni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) leo kimetoa tamko lenye maagizo matano ikiwamo wabunge wote waliosimamishwa kurejeshwa bungeni ili kuendelea na majukumu yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Dk Helen Kijo Bisimba alitaja maagizo mengine ni kuitaka Serikali isitishe uamuzi wake wa kuwafukuza wanafunzi wa UDOM na badala yake itafutwe suluhu kwa amani.
 
13315425_10154219401849339_1382528556953392383_n.jpg

Siku moja baada ya kuibuka vurugu bungeni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) leo kimetoa tamko lenye maagizo matano ikiwamo wabunge wote waliosimamishwa kurejeshwa bungeni ili kuendelea na majukumu yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Dk Helen Kijo Bisimba alitaja maagizo mengine ni kuitaka Serikali isitishe uamuzi wake wa kuwafukuza wanafunzi wa UDOM na badala yake itafutwe suluhu kwa amani.
Watu wanamuona JOHN MAGUFULI anavyowatendea. Anaendesha nchi kwa namna ambayo haikubaliki kabisa! Wababe wote mwisho wao huwa ni mbaya tangu enzi na enzi. Uchumi unazidi kuharibika na kiwango cha maisha kikizidi kushuka.
 
Hivi Magufuli si alitishia kumtumbua huyu Mama baada ya kumshauri kwenye suala la Kabwe? Na aliyosema Mama yalitimia kwa Kabwe kuzima, basi walau huku wamsikilize ingawa serikali hii ya Hapa Ubabe Tu haiwezi kujishusha kwa mtu mdogo kama huyo...

Hahaaa, 'eti hapa ubabe tu 'hatari sana
 
Siku moja baada ya kuibuka vurugu bungeni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) leo kimetoa tamko lenye maagizo matano ikiwamo wabunge wote waliosimamishwa kurejeshwa bungeni ili kuendelea na majukumu yao.

Hivi LHRC ni kituo cha haki za binadamu au kituo cha habari cha CHADEMA? Kirefu cha LHRC sijui ila hiyo herufi ya mwisho C kwenye hicho kifupi maana yake ni CHADEMA
 
Siku moja baada ya kuibuka vurugu bungeni, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) leo kimetoa tamko lenye maagizo matano ikiwamo wabunge wote waliosimamishwa kurejeshwa bungeni ili kuendelea na majukumu yao.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo hicho, Dk Helen Kijo Bisimba alitaja maagizo mengine ni kuitaka Serikali isitishe uamuzi wake wa kuwafukuza wanafunzi wa UDOM na badala yake itafutwe suluhu kwa amani.

hivi huyu Mama mbona hana aibu hata kidogo? kumbe yeye ndiye aliye watuma wana UKAWA wenzie wakafanye fujo na kukaidi agizo la kiti cha spika? mbona haongelei kuhusu utovu wao wa nidhamu? tunajua huyu mama ameajiriwa kuwasemea UKAWA na mafisadi lakini ana poteza muda tuu
 
Hahahahahaaaaa! Hap LHRC ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa. Naona wamechokonoleww kunako sasa wameingia kichwa kichwa

Utawala wa vitisho na ubabe unaoshangilia na kutamani uendelee kamwe hauwezi kuwa na manufaa kwa wananchi kama unavyoona sasa.
 
Hahahahahaaaaa! Hap LHRC ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa. Naona wamechokonoleww kunako sasa wameingia kichwa kichwa

Huwa najiuliza nyinyi watu wa lumumba mpoje au maisha ya watanzania nyinyi hayawahusu? Hata kama mnataka ukuu wa wilaya au mnalipwa buku saba jaribuni basi hata kuwa na utu kidogo
 
Hivi Magufuli si alitishia kumtumbua huyu Mama baada ya kumshauri kwenye suala la Kabwe? Na aliyosema Mama yalitimia kwa Kabwe kuzima, basi walau huku wamsikilize ingawa serikali hii ya Hapa Ubabe Tu haiwezi kujishusha kwa mtu mdogo kama huyo...
Alisemaje kuhusu Kabwe mkuu mimi sikuisikia hiyo
 
Hivi LHRC ni kituo cha haki za binadamu au kituo cha habari cha CHADEMA? Kirefu cha LHRC sijui ila hiyo herufi ya mwisho C kwenye hicho kifupi maana yake ni CHADEMA

Mkuu we ni noma, hujui ila hiyo c unaijua? Kwa hiyo inakuwa Legal and Human Rights Chadema? Ama kweli.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom