MADIBA MANDELA
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 503
- 398
Ni moja ya vituo maarufu vya polisi vinavyopatikana kule kaskazini Arumeru jijini Arusha kituo hiki kila siku kinazidi kuchafuka Kwa upotevu wa vifaa vya magari pale gari linapopata ajali na kupelekwa pale siku ya kulichukua watu wengi wanalalamika power window radio na vifaa vingine vinaibiwa mfano ni gari moja juzi limefunguliwa control box na hakupotelea eneo la ajali.
Swali ni je kuna vibaka wenye udhubutu wa kwenda kuiba kifaa cha gari lililopo central au kuna vibakapolisi wanaofanya huu ujinga? Jiangalieni bana mnaboa
Swali ni je kuna vibaka wenye udhubutu wa kwenda kuiba kifaa cha gari lililopo central au kuna vibakapolisi wanaofanya huu ujinga? Jiangalieni bana mnaboa