Kituo cha Polisi Salenda na hao wakamata bodaboda hapo pembeni yenu

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,393
Kituo Cha polisi salender bridge, chonde chonde naomba muwafukuze hao wanaokamata boda hapo kwenye mataa Kama hamshirikiani nao, leo nusra wasababishe ajali wakati wanataka kumkamata boda moja hivi, hao watu hawakuepo mara wamerudi tena, iachiane Polisi ifanye kazi hiyo.
 
Yaani wataanzaje kupiga teke mgao ?🤔🤔
 
Kituo Cha polisi salender bridge, chonde chonde naomba muwafukuze hao wanaokamata boda hapo kwenye mataa Kama hamshirikiani nao, leo nusra wasababishe ajali wakati wanataka kumkamata boda moja hivi, hao watu hawakuepo mara wamerudi tena, iachiane Polisi ifanye kazi hiyo.

yeah hiyo biashara imerudi upya kwa kasi hata Kariakoo
 
Kituo Cha polisi salender bridge, chonde chonde naomba muwafukuze hao wanaokamata boda hapo kwenye mataa Kama hamshirikiani nao, leo nusra wasababishe ajali wakati wanataka kumkamata boda moja hivi, hao watu hawakuepo mara wamerudi tena, iachiane Polisi ifanye kazi hiyo.
Hivi ni Selander au Salender au Selender?
 
Buguruni kwenye mataa ndo wanakela wanazima boda na kutoa funguo hawajali aliyepakizwa anawai Wala Nini hawana hata semina kikubwa kwao pesa
 
Miongoni mwa watu wanao chafua selikari na wananchi Ni hawa mark my words and do some research.
 
Jamaaa wanaboa sana wale ,hizi ni dili za kupata hela kwa vijana wanyonge waliojiajir kwenye bodaboda ili wapate ridhki
 
Ni wale Askari wa tigo???
Hapana Askari wa tigo hawamkamati mtu kishamba vile ,maana Askari kukamata ni taaluma zao wanajua jinsi ya kukamata,kile ni kikundi tu cha watu Kika tengeza uhalali flan na kuanza kazi,
 
Then hawakamati bodaboda tu,we pita na pikipiki yako unaenda kazini,unakitambulisho kila kitu,hawaelewi wao hela tu
 
Kituo Cha polisi salender bridge, chonde chonde naomba muwafukuze hao wanaokamata boda hapo kwenye mataa Kama hamshirikiani nao, leo nusra wasababishe ajali wakati wanataka kumkamata boda moja hivi, hao watu hawakuepo mara wamerudi tena, iachiane Polisi ifanye kazi hiyo.
Wana ushirika kamwe hawawezi kuwafukuza
 
Kituo Cha polisi salender bridge, chonde chonde naomba muwafukuze hao wanaokamata boda hapo kwenye mataa Kama hamshirikiani nao, leo nusra wasababishe ajali wakati wanataka kumkamata boda moja hivi, hao watu hawakuepo mara wamerudi tena, iachiane Polisi ifanye kazi hiyo.
...Wanawakamta kwa Kosa gani Mkuu ??
 
Jamaaa wanaboa sana wale ,hizi ni dili za kupata hela kwa vijana wanyonge waliojiajir kwenye bodaboda ili wapate ridhki
Wanyonge hivi,?
Biashara ya boda ni nzuri kusingekuwepo na ujinga huu unamkabidhi mtu chombo anaenda na yeye kukikabidhi kitoto cha miaka 14 chombo hakina leseni hakijui chochote zaidi ya kuwasha na kuongeza spidi tu na labda breki.
Mi baba yangu alikufa na pikipiki sio boda,
paris dacar cc 650.
Ilikua moja tu
enzi hizo tajiri wote wanamiliki honda 100cc
Hiyo miboda mnauziwa huko ni ushombolo tu toka China.
Sasa kwanini msipigwe sana na polisi?
Nyie mkiwasha ni moto tu twende.
Kuna boda nilimkodi alikoma.
Ilikua mi napiga breki,napunguza mwendo naongeza mwendo mwenyewe. Ye kashika usukani tu niiko nyuma yake.
 
Tatizo si kifo Cha baba yako,tatizo wakamataji wanakamata Hadi watu wanaotumia pikipiki zao kwa kwenda makazini,kifo Cha mshua wako ikifika tu
 
Ilifika,
Na mimi Mzee alikua ananambia kila kinachojiri.
Hakuwai kunieleza hata siku moja kakamatwa na trafik.
Point yangu ni kwamba mda wote alifwata sheria.
Hawa boda hamna kitu kabisa.
Nilipata ajali miaka fulani pale muhimbili kibasila hawa maboda walikua wanakatwa miguu tu wakivunjika huko.
Niliwai tu kupiga kelele kwamba mi ajali yangu ya gari ntapona.
Kumbe madokta wanadeal na mshenzi mwingine pale nje atengeneze magongo
Yule jamaa anakuja anapima mguu we unakatwa unakua kilema jamaa anakuletea magongo familia italipa.
Hayo nimeyaona kwa macho yangu Muhimbili.
 
Hapana Askari wa tigo hawamkamati mtu kishamba vile ,maana Askari kukamata ni taaluma zao wanajua jinsi ya kukamata,kile ni kikundi tu cha watu Kika tengeza uhalali flan na kuanza kazi,

Yaani wa makumbusho sio watu mna code
 
Back
Top Bottom