Kituo cha polisi Bumbuli chachomwa moto

Kituo cha polisi Bumbuli chachomwa moto

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Kuna taàrifa nimezipata kuwa kituo cha polisi cha BUMBULI kimechomwamoto baada ya mgongano wa polisi na wananchi..Naendelea kupata taarifa zaidi na kama alienipa taarifa kama naweza kunipatia picha..
 
Kunatàrifa nimezipata kuwa kituo cha polisi cha BUMBULI kimechomwamoto baada ya momgano wa polisi na wananchi..naendelea kupata taarifa zaidi na kukama alienipa taarifa kama naweza kunipatia picha..

Mkuu!

Kisa ni ule uchaguzi wa serikali ya kijiji nini?
 
Ni kweli kimeharibiwa na wananchi tatizo ni kufungwa kwa mganga wa kienyeji kwa jina Manyaunyau anayefanya kazi ya kuondoa majini kwa wachawi.
Inavyosemekana wazee wachawi wa Bumbuli mjini wamekataa mganga huyo kufanya kazi hiyo kuhofia kuingia aibu.
Source mtu wa karibu aliyepo Bumbuli.
 
Naambiwa na ofisi ya kata nayo imehalibiwa vibaya sana wanasema hawana mbunge wa kuatetea bali wana mbunge wa kwenye magazeti mkaazi wa dar es salaam ambaye ni january makamba..
 
Mwanangu we muongo sana haufai kuaminiwa hata kidogo mambo ya ushilikina na siasa wapi na wapi?
 
Naambiwa na ofisi ya kata nayo imehalibiwa vibaya sana wanasema hawana mbunge wa kuatetea bali wana mbunge wa kwenye magazeti mkaazi wa dar es salaam ambaye ni january makamba..

Mkuu hofu yangu ni kwamba hao wananchi wanaweza kuunganishwa kwenye kesi ya ugaidi.
nchi hii mtu ukishajitambua unaitwa gaidi
 
Nchi ina amani na utulivu. Naishangaa kweli Tz yetu, mwaka 2005 wakat watu 8 walikufa Dar pale Bugurun kwa mnyamani kwa kupigwa kofi na vitu visivyojulikana serikali ilihana kutafuta ufumbuz na wataalam dizain ya manyaunyau waliokoa jahaz tena kwa sapot ya serikal leo wanamuweka rumande huku wanajua kuwa wananchi wamechoshwa na mambo ya kishirikina. Ref. Mbeya watu walizikwa wazima, Rukwa walimaliza, Shinyanga ndo usiseme. Hata hivyo kama muhimili wenyewe ndio unasujudia huko tetegemee nini? na hapo huenda walikuwa wanaweka mambo yao sawa ili upinzani usishinde tena bahati mbaya manyaunyau ameingia na kuanza kutibua mambo na dawa nanukuu- 'wanafanya uchafuzi wa mazingira'. Kama serikali yetu inakubal kutoa pamba masikioni na mbao machoni usalama waraia usiwe wa tabaka fulan na kama itashindikana BINAFSI NAONA KAMA VILE HI NI TRELA TU.
 
duh,hii ni hatari sana,mbona wananchi wamebadilika sana siku hizi?
 
Nyakati hizi tulioko ni ya uwazi na ukweli flu!
Hakuna mjinga tena!

Acha wanainchi wafanye watakavyo!
Na hiyo ni traller tu 2015 hakuna mjinga!
 
Nimwewasiliana na wadau walioko huko, inaonekana kulikuw ana Mzee wa kimila akitoa tibba hapo kijijini na ofisi ya kata kushirikiana na polisi walimkamata na kumuweka ndani. sasa basi wananchi zaidi ya 500 wakajikusanya kwenda kumtoa huko polisi na kufanikiwa kuchoma moto hizo ofisi pamoja na kituo cha polisi.

ila inaonekana issue kubw ani CCM kuchokwa kwani wanchi wnahasira sana na MACCM kwahiyo wapatapo sababu na pahali pa kutolea hasira zao basi huwa hawana utani hata kidogo.
 
Naambiwa na ofisi ya kata nayo imehalibiwa vibaya sana wanasema hawana mbunge wa kuatetea bali wana mbunge wa kwenye magazeti mkaazi wa dar es salaam ambaye ni january makamba..

Mtumee! Nilijua tu ni mbunge toka ccm, mtaikoma
 
Nimwewasiliana na wadau walioko huko, inaonekana kulikuw ana Mzee wa kimila akitoa tibba hapo kijijini na ofisi ya kata kushirikiana na polisi walimkamata na kumuweka ndani. sasa basi wananchi zaidi ya 500 wakajikusanya kwenda kumtoa huko polisi na kufanikiwa kuchoma moto hizo ofisi pamoja na kituo cha polisi.

ila inaonekana issue kubw ani CCM kuchokwa kwani wanchi wnahasira sana na MACCM kwahiyo wapatapo sababu na pahali pa kutolea hasira zao basi huwa hawana utani hata kidogo.

Wananchi hawawapendi MaCcm kweli tena.... Nawaunga mkono.
 
Nimwewasiliana na wadau walioko huko, inaonekana kulikuw ana Mzee wa kimila akitoa tibba hapo kijijini na ofisi ya kata kushirikiana na polisi walimkamata na kumuweka ndani. sasa basi wananchi zaidi ya 500 wakajikusanya kwenda kumtoa huko polisi na kufanikiwa kuchoma moto hizo ofisi pamoja na kituo cha polisi.

ila inaonekana issue kubw ani CCM kuchokwa kwani wanchi wnahasira sana na MACCM kwahiyo wapatapo sababu na pahali pa kutolea hasira zao basi huwa hawana utani hata kidogo.

Siwashangai kwakuwa kila kitu kwenu ni mtaji wa kisiasa na usishangae mkalianzishia majadiliano ili kuonyesha mambo hayaposawa bumbuli ila mtakuwa mnajidanganya wenyewe. Suala hapa ni wazee wa stendi pale bumbuli ambao inasemekana ni washirikina sasa wamekataa huyo mganga kuwatoa majini na wakahonga polisi ili akamatwe huyo manyaunyau kuepusha aibu sasa wapi ccm kuchokwa hapo?
 
Back
Top Bottom