Ule muhimili unafikia hatua hata ya kutamani upewe uongozi wa malaika mkuu.Tatizo kubwa katika hii nchi ni ule mhimili wenye mizizi mirefu uliojichimbia chini kuliko mihimili mingine una control kila kitu
Unatia huruma. ITV na Cdm wapi na wapi ?!Kwa Huu Udkteta Chadema wakipewa mamlaka watatumaliza Wananchi
Unataka watangaze wanachokufurahisha tu?
Jack Mengi anamuogopa MakondaITV Super brand!! siku hizi bora hata TBC sio hiyo takataka
Mnamo saa 5 asubuhi ITV ilijiunga na Aljazeera English. Heading moja wapo ya news ilihusu hali ya Corona Tanzania. Ilipofikia hiyo taarifa ITV WAKAWEKA MSULULU WA MATANGAZO na hivyo kuminya hiyo taarifa.
Nilipokwenda jaazira moja kwa moja waliongelea tunavyoipuuza covid kwa kuonyesha yaliyotokea dar es salaam wakati wa Eid. Zitto akazungumza yake. Wakazungimzia ya ubalozi wa marekani.
Wakaongelea pia ukosefu wa takwimu. Nikarudi itv wakamaliza matangazo yao wakajiunga na al jazeera kwa topic iliyofuata. HIVI NDIO VYOMBO VYETU VYA HABARI TUNAVYO VIAMINI. Au ndio uzalendo huo?
Kwa hiyo wakireport Jambo baya la Tanzania kwako nifuraha?Habari zenu wakuu,
Hii Chanel ya ITV inakuwaga na utaratibu wa kurusha matangazo kutoka katika vyombo vya habari vya kimataifa Kama Aljazeera na DW.
Na katika habari kuu za leeo za Aljazeera mojawapo ilikuwa Kuhusu Tanzania na Corona. Cha kushangaza habari zingine zikarushwa lakini ilipofika Ile habari ya Tanzania wakakatisha habari ya Aljazeera na kuweka matangazo ya Isidingo halafu wakarudisha Tena Aljazeera baada ya Ile habari ya Tanzania kupita.
Kweli ITV mmefikia kiwango cha kuwa waoga namna hii kukataa raia wasione vyombo vya nje vinavyoizungumzia Tanzania?
Joyce Mhavile, Mkurugenzi wa ITV radio one angalia hili mama. Mnapoteza uaminifu na mvuto wenu kwa Watanzania.
Tatizo lakuongozwa na kipofu, mwenye tamaa ya fedha ya ruzuku na madaraka bwana MBOWEKwa Huu Udkteta Chadema wakipewa mamlaka watatumaliza Wananchi
Unataka watangaze wanachokufurahisha tu?