Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Si hao tu,mikoani wapo watu wamefunguwa maduka ya dawa za asili,na wanawapa watu dawa,kwa maelekezo ya kutumia.Yasemekana watu wengi yanawadhuru haya madawa,kwa vile hawa wanaouza hawana utaalamu wowote wa madawa.Lingetolewa tamko Maduka haya yawe na wauzaji waliosemea mambo ya madawa.Mwenye kituo ameachwa au ameenda kunyea debe?:Serikali inatakiwa imchukue na mmiliki imtie ndani maana wanachezea sana afya za watu. Madawa yao ni ghali, na hayatibu chochote! Heko wizara ya afya
Mi navyohisi ni kuwa si kweli kuwa haya walikuwa hawayajui miaka yote ile ila itakuwa kuna mkubwa kamshika pabaya ndo wamemuamulia sasa.
Mshukuru mola . pia endelea na dozi iishe usijali hii vita ya maslahi kati ya makundi hasimu dhidi ya hawa matabibu. Nilijizuia kuzungumzia hii vita yao maana kiukweli wamemkaba Mwaka simply sababu ya maslahi tu.
Kwahiyo PV watafanyiwa puani..au mdomon..acha kuongea usichokijua km mkeo hutaki apimwe na mtu kampime mwenyewe
Alimchungulia mke wa kigwangala wakati kaenda kutibiwa pale ndiyo maana kaja juu sana.
Yani mkuu cio PV tu ata PR sikuhizi tutafanya mdomoni hii nchi hii bhana hv kuna mtu anapenda chungulia kweli????lakin wao c ndo wamehiari au?Kwahiyo PV watafanyiwa puani..au mdomon..acha kuongea usichokijua km mkeo hutaki apimwe na mtu kampime mwenyewe
Pia wale Wamiliki wengine wa Clinic za Asili wamechangia kumfanyia Fitna japo na yeye ana mapungufu yake mengi hususani hilo la kuwavua nguo za ndani Wanawake wanaokwenda kwake kutibiwa,It may be possible coz jamaa alikuwa anaoneka anahasira na alipania kumwonjesha joto ya jiwe. Hehehe..
Mi sijui Dr. Mwaka is wrong or right ila wanasiasa wafanye mambo kwa interest ya majority na sio personal issues kulazimisha zionekane ni for public.
Hivi kwani huyu mwaka ni msabato AU kila anayehusika na tiba mbadala ni msabato,?
ni muislamu pure
Pia wale Wamiliki wengine wa Clinic za Asili wamechangia kumfanyia Fitna japo na yeye ana mapungufu yake mengi hususani hilo la kuwavua nguo za ndani Wanawake wanaokwenda kwake kutibiwa,
ni muislamu pure
walewale madokta wa kisabato walinipa dawa niliharisha siwezi sahau!
dozi nilimnunulia mkewangu 250000 kunakauafazari kidogo baada ya kutumia dawa hizi