Kabla ya kwenda kufunga huo mzigo wako kuna mahitaji ya soko inabidi uyajue kwanza. kama vile; bei inayotembea sokon, ubora wa kitunguu chako na size yake maana masoko ya dar makubwa yanatofautiana mahitaji, kuna masoko yanataka vitunguu vikubwa kabisa na mengine yanataka vitunguu size ya kati. pia inabidi ujue jinsi ya ufungaji wa gunia manake unaweza leta magunia yako yakawa kituko sokoni pale, pia gharama za soko ni muhimu kujua ili ujue unajipanga vipi. Kuna mambo mengi mengi ila ya msingi ni hayo. NIcheki kwa 0689 658811 manake me ni mfanyabiashara wa vitunguu na ni mkulima pia.