TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

Youtube inaonyesha dogo aliumwa sana na comment nyingi zinaonyesha alikuwa mtuamiaji wa ngada na punda pia. Maisha ya Usanii na Umaarufu yana kazi sana kuyaishi. Alale mahala pema
Faili la marehemu linatoka
 
Back
Top Bottom