jamaikatz
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 369
- 1,252
Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini.
Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA inapenda kutoa pole kwa familia ya juakali tamthilia kwa pigo hilo kubwa.
Pumzika kwa Amani Kitundu.
Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA inapenda kutoa pole kwa familia ya juakali tamthilia kwa pigo hilo kubwa.
Pumzika kwa Amani Kitundu.