Kitumbua kimeingia mchanga

Kitumbua kimeingia mchanga

Mapenzi cku zote huwa na stage...big expectations kwa watu wengi ndio zinatucost....you know mnaweza kuwa mnapendana yes But Huwa inafikia wakati mnazoeana na ndio vitu kama hivyo vinapoanza kujitokeza....

Mapenzi ni more than i love you,i love you too....Love is friendship...msipokuwa marafiki vitu ka hivyo kutokea ni obvious

kweli kabisa yani...
 
hahahahhahaaaaa........pole bana.....c na wewe ukauke tuuu......ana sababu yake may be.....
 
Mapenzi cku zote huwa na stage...big expectations kwa watu wengi ndio zinatucost....you know mnaweza kuwa mnapendana yes But Huwa inafikia wakati mnazoeana na ndio vitu kama hivyo vinapoanza kujitokeza....

Mapenzi ni more than i love you,i love you too....Love is friendship...msipokuwa marafiki vitu ka hivyo kutokea ni obvious

aisee, UNIVERSITY OF JF
 
Mtoa mada umenigusa moja kwa moja. Lakin hii kitu ikinitokea huwa najichomoa kimya kimya. Hapo sababu kuu ni kuwa anakuwa kapata mwingine au kakuchoka...
 
Kama issue ni maneno matamu tu..anza kumwambia wewe, mwambie maneno matamu yooote, hakutafuti? Anza wewe kumtafuta halafu onyesha hukwaziki, Haku update mambo yake? we mu update yako.....!

Then maduku duku yakikuzidia mvizie siku kapoa, mko katika pozi la kimahabat...tema nyongo zako zooote bila kupanick...asipokuelewa basi....!
 
Afu ukiona mtu kakubadilikia usijiloge kumwambia muachane yaani hapo utaumia zaidi,cha msingi we left kimya kimya,mtu aliechange vigumu kumbadilisha ukitaka abadilike subiri muachane mkae utashangaa anarudi mxiuuuu mtimue usikubali kua nae tena watu wa hivi ndio hata wakioa ikitokea kaona kihawara huko nje utajuta ndani ya nyumba
 
Ilinitokea hii kijana, lakini nikiwa kama mwanaume,sikubabaika kujiuliza mara mbili mbili.

Nilinyanyua simu nikaamuuliza tu anieleze kama ni nyeupe au nyeusi? Akajibu nyeusi nikamwambia haaya mama mungu awe nawe.

Nilikuja pata mashine mpaka nikawa naiogopa,nkaanza kujiuliza nlikuwa nafanya nn kwa yule ---- kule.god forgive.nashukuru tuko kwenye hatua muhimu nampenda sana.

U just go bwana.
 
congrats mdau
 
Back
Top Bottom