Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
yaani ngoja namimi nicheke tu ili niongeze siku za kuishi..
msome magombe junior hapo juu,hiyo pia ni sababu
Last edited by a moderator:
yaani ngoja namimi nicheke tu ili niongeze siku za kuishi..
msome magombe junior hapo juu,hiyo pia ni sababu
Habari za mchana wadau
Moja kwa moja niende pointini, Hivi kunakuwa na nini kinachofanya mpenzi wako wa karibu akasitisha au kubadili style fulani ya maisha ambayo alikuzoesha?
Kwa mfano zamani mlikuwa mkiwasiliana 24/7 either kwa kuchat kwa sms au kuongea lakini nowadays hola. zamani simu kutwa mlichaji hata mara 5 nowadays unachaji mara 1 tu na chaji haiishi.
Zamani mlijiunga cheka zogo ya dakika 90 hata mara 4 mkaongea mpaka saa 7 usiku nowadays hata ya 250 zile dk 8 mpaka zinaexpire, maneno yote matamu uliambiwa sasaivi hata I love u unaisikia kwa jirani au mpaka umwambie ndio aitikie I love u too.
Zamani phone sex kila siku saivi mpaka ushasahau.
Zaman kila alichokua anafanya aliku-update saivi mpaka umuulize unafanya nini mbona kimya?
Seriously it hurts kwakwel na kukufanya udoubt japo huujui ukweli but automatic mazingira yatakupelekea kweny kuwaza kinegative zaidi.
Kama umemchoka just tell him/ her so that can know where to stand.
And if not why so?
mmmhhh kuna mazingira mengine no way lazima umuulize tu just kwa afya na ustawi wa penzi lenu! abiria chunga mzigowo ohooooo...
maybe ila mimi nachotaka anieleze tu tusipotezeane muda.. time is makangabiliti