Kitumbua kimeingia mchanga

Kitumbua kimeingia mchanga

Show your true colour from the beginning...hutapata majanga ya hivyo. the problem we have ni kwamba huwa tunapretend sana mwanzoni ambapo baada ya muda hizo acting zikiisha ndo mawazo kama hayo huanza.

absolutely perfect ...na ni mbaya sana hii wee ishia kuisikia tu usiombe ikutokee utajutraa
 
kama unanijua vile,,,m hua nafanya ivo wkt sijapata kitumbua,,nikionjeshwa tu mambo yanaenda harijojo km ivo
 
ndiyo kuachwa unakaa hewani kama kunguru si issue

ukweli siku zote humweka mtu huru bora akwambie ili usihangaike kumsumbua sumbua na kupoteza muda wako kumfikiria yey wakati kuna foleni kibao inawish kuwa nawe
 
Kwanza inashauriwa msiwasiliane mara kwa mara yaan kila sekunde au dakika! mtachokana haraka, kwa mfano maneno yale yale kila siku, au style ya kumuanza au kumwingia mwenzio ni ile ile!

kwa mfano: mpenzi wako umezoea kumuanza "vipi" kila siku hilo hilo neno so linakuwa common!

badilisha angalau "mambo baba watoto" "shikamoo my dear" najua hapa ni vita.....
 
Dalili ya mvua mawingu...ukilisubiri tope utazama!

kweli kabisa nowadays nshachoka kabisa mpaka asiponitafuta kwa muda mrefu naona it okay but zamani nlikuwa naumia sana so I think taratibu naadopt hali halisi..
 
Kwanza inashauriwa msiwasiliane mara kwa mara yaan kila sekunde au dakika! mtachokana haraka, kwa mfano maneno yale yale kila siku, au style ya kumuanza au kumwingia mwenzio ni ile ile!

kwa mfano: mpenzi wako umezoea kumuanza "vipi" kila siku hilo hilo neno so linakuwa common!

badilisha angalau "mambo baba watoto" "shikamoo my dear" najua hapa ni vita.....

okay nashkuru ngoja niufanyie kaz ushauri wako ntakupa feedback
 
Back
Top Bottom