Mimi nilijaribu kufikiri siku moja kwa kina kuhusu hisi jambo nikaja kugundua kuwa hawa jamaa kikubwa kinacho waumiza nakupelekea jinsia moja kuwa na matamanio na jinsia nyingine,kwanza kabisa ni ubinafsi wao unakuta familia ina mtoto mmoja au wa wili hapo kuanzia malezi mpaka makuzi ya huyu mtoto au watoto wanafundishwa changu ni changu nasio chafamilia au cha jamii,sasa hali kama hii mara nyingi huleta upweke pale mfarakano unapotokea katika familia husika,sasa wahanga wanapotafuta relief huji kuta wakitumbukia katika mikono ya ulaghai na uasherati.
Pili katika tafakuri yangu na hisi pia sheria za kibinadamu zinazoondoa uwepo na hofu ya sheria za Mungu kama vile wanawake wanapotamani kulingana au kuwa sawa kabisa kwa kila hali na wanaume katika maamuzi,utendaji,uongozi na kadharika..Hii pia imeathiri kwa kiasi kikiubwa mataifa haya mpaka kufikia baadhi ya wanaume kutotambua tena thaman ya uanaume pengine kuhofia hizi sheria kandamizi nakujikuta katika matamanio na watu au mtu walio katika jinsia sawa...
Ukikjaribu kuuliza ni jinsi gani hawa watu au hii jamii inavutiwa vipi na mahusiano ya namna hii hautapata picha kamili ya hisia zao juu ya hawa viumbe,sasa ukitazama ulaya watu hawataki tena kuzaa,hawataki tena kulea,hawataki tena kuheshimiana kati ya wapenzi wawili,watu wako katika matamanio ya starehe na anasa za kidunia..!!!
Challenge tulionayo waafrika ni moja,sikukaa na kuanza kulia kuwa dunia imeisha nakadharika sasa niwakati wetu na sisi kutetea utu wetu na heshima yetu kama waafrika na si kulazimishwa kufanya hata yale yasio stahili kwa akili ya kawaida,leo hapa jukwaani tunaona kushangazwa lakini kaeni mkijua mpaka sasa kuna NGOs' kadhaa Tanzania ikiwemo JHpiego zinazofanya stuies na kwa wakati huo zikishiriki kutoa elimu katika jamii kuhusu mahusioano ya jinsia moja,kutulazimisha kuupokea na kuukubali utamaduni huu mpya..!!!Je tunawalinda vipi watoto wetu kuepuka kadhia hii na kunasa katika huu mtengo wa kimagharibi?? hasa ukizingatia kuwa idadi kubwa ya familia ya kipato chakati na juu tunatamani watoto wetu wapate elimu yenye rangi na radha ya kimagharibi bila kutathimini athari mojawapo ya haya mapokeo..
Sikwamba kila kitokacho ulaya na marekani nikizuri machoni petu,vingine ni vya kukerehesha na kuhudhunisha..Marekani na Ulaya wamekweshikuharibikiwa hawana jinsi tena ya kujiokoa,sasa kilicho bakia nikuhalalisha baadhi ya upuuzi kuwa haki na kuyalazimisha mataifa mengine kuharibikiwa kama wao ili dunia iwe namuonekano unao fanana,kusiwepo na wakumcheka,kumuonya na kumkanya mwenzie..!!!